Katika ahadi ya 4 ya Mgombea Uraisi kutoka CCM alisema ETI...
"Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imewashtaki Nsengiyumva Lenga Lutendeli na Advela Dickson Bishikira kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram...
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara...
Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia.
Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21...
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema;
"...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa...
Kwa nini hawakupelekwa vijana wadogo kushangilia wale watoto ?
Wameshindwa kuchukua hata vikundi vya ndondo cup vikatoe shangwe mnaenda chukua wazee waliojichokea ?
CCM kila kitu ni deal
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27...
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je...
Uongozi ni kama koti la kuazima; Mbowe na Lipumba sasa si viongozi tena!
Pia soma
Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF
Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura...
Moja ya mijadala ilivyoendeshwa katika Bunge la 10, Mkutano wa 18 Kikao cha 3, ambapo Tundu Lissu akiwa ni Mbunge kupitia CHADEMA alivyochangia hoja huku Spika wa Bunge, Anna Makinda naye akitoa...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu Juni 1, 2026 ameshiriki ibada ya mazishi ya Diwani wa Kata ya Shelui, Mhe. Agnes Nasania, iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
"Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 ufutwe na kutangazwa uchaguzi mpya ili kuwapa nafasi wananchi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya Rais, wa bunge na madiwani ili kurejesha umoja na...
Akichangia hoja kwenye hotuba ya Bajeti ya Wizara Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Bungeni Dodoma Juni 1, 2026, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Kaskazini Pemba, Asya Sharif...
Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali
Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa...
Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa.
Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa...
"CCM inabidi wajitafakari. Kwa mtazamo wangu sioni kama wana future nzuri kisiasa. Kwa sababu CCM wameacha kufanya siasa, wameacha dola iwafanyie siasa. CCM haiwezi kushinda uchaguzi tena kwa...
Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption...
"Nimekuwa waziri kivuli wizara ya mambo ya nje, maliasili, kilimo. Kwa hiyo I know namna gani serikali inafanya kazi. Sasa, lakini kama haitoshi, wakati ule nafanya kazi tuko CHADEMA anaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.