Mama Samia yupi fake 2021-2022 au 2024-2025??
Yule wa miaka ya 2021-2022 au wa sasa? Maana tabia na mwenendo nitofauti kabisa. Kutoka USA na China sasa ameenda Russia.
Kutoka kuwa kipenzi cha EU na USA mpaka kuonekana adui!. Kutoka kuwa mtetea haki na utofauti sasa ni muuaji na mtekaji. Kutoka kusema chaguzi zitakuwa huru au huyu wa sasa mwizi wa kura.
Kutoka kuwasema vyombo vya usalama sasa kuwatumia kuteka watanganyika. Kwa mawazo yako yule wa 2021-2022 ndiye alikuwa fake. Joka lenyewe ndilo hili tunalo sasa