Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama Lowassa...
64 Reactions
111 Replies
9K Views
Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi...
4 Reactions
8 Replies
972 Views
Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiacha kwamba hii ni fursa naichukia ila ni aibu Kwa Nchi kama Tanzania ambayo Ina mifugo wengi namba 2 Afrika wakiwemo Ng'ombe tukiwa tumezidiwa na Ethiopia tuu ila tunazalisha maziwa Lita kati...
15 Reactions
116 Replies
6K Views
Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye...
16 Reactions
150 Replies
12K Views
Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, Najua hili ni jukwaa husika nitapata msaada, kwa kipindi kirefu tokea nimalize chuo nilikuwa jkt sikuweza kupata fulsa ya kujihusha na siasa japo tulikuwa tunakutana na vijana wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mtunza Hazina wa CCM na mbunge wa Igunga Bilionea Rostam Aziz amesema Lowassa alikuwa ni ndugu yake na wameishi Nyumba moja kwa miaka 15 Rostam amesema Lowassa hakuondoka CCM kwa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wacheni ujinga na unafiki, Leo Lowassa katangulia WOTE tunampaka maradhi na kumfukiza Udi. Tuache unafiki. Lowassa alikuwa KIONGOZI mzuri lakini alikuwa na makandondo yake. 1. Lowassa Akipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Hatari sana, kiukweli rais anapewa safari nyingi sana.... Sana.... Anasafiri sana . Nchi si keshafungua? Si ukifungua inatakiwa watu waingie? Sasa kufungua huku kumekuwa ni kwa kutoka. Tupo...
0 Reactions
13 Replies
575 Views
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
SOMA HABARI YOTE KABLA YA KUCHANGIA TAFADHALI. Edward Lowassa na Rais Jakaya Kikwete walikuwa ni marafiki wa dhati mbele ya macho ya watu. Kila mmoja kwa nafsi yake alikuwa na lengo lake. Mmoja...
8 Reactions
42 Replies
12K Views
Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka. Ukiangalia vizuri marafiki zao...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni vema Chadema ikatufafanulia huko "Kuchoka" maana yake nini Ikumbukwe kuwa kampeni za uchaguzi zimeshaanza hivyo ni vema tukaeleweshana mapema yale yajayo Ahsanteni sana 😀
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Edward Lowassa amefariki na leo tumempunzisha. Pole sana kwa Taifa na familia yake. Nimekaa, nimewaza kwa kuwa Hayati Lowassa amefanya mengi sana hapa Tanzania ninashauri yafuatayo. Baadhi ya...
2 Reactions
13 Replies
971 Views
Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi...
26 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwanini Uhuru wa bendera sheria nyingi znazotumika asilimia kubwa za mkoloni. Mfano: Sheria za Makosa ya Jinai Sheria hii ni ya Mkoloni sheria hii inasababisha polisi, mahakimu, na majaji...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Dotto alikuja kwa kasi na kunakikao akazuia TANESCO wasiingie. Kwa hali inavokwenda ni dhahiri na yeye MFUPA umemshinda. Nashauri wizara na TANESCO, shirikisheni wasomi, ombeni ushauri kwa wasomi...
4 Reactions
16 Replies
758 Views
Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…