Si ameshafungua nchi, inabidi wageni waingie

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Hatari sana, kiukweli rais anapewa safari nyingi sana.... Sana.... Anasafiri sana . Nchi si keshafungua? Si ukifungua inatakiwa watu waingie?

Sasa kufungua huku kumekuwa ni kwa kutoka. Tupo Ethiopia. Sometime yananijia mawazo ya Kizalendo, sometimes nasema nijilie vyangu nitulie. Msafara ni mkubwa. Tupo wengi ila kwa hii nchi acha kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Magufuli alitubana sana yule Mzee.

Nikirudi namalizia nyumba yangu ya.... Huko Mapinga. Hii ndo nawaza nikistaafu nikaishi huko mbali na makelele yenu na fujo. Nikiendesha miradi yangu Bubu ya Kizalendo.
 
Ulitka huko kwenye AU Summit uende wewe? Na angetaka asafiri Kila sehemu au mualiko angweza.

Mfano wiki hizi kadhaa amewatuma VP,PM, Rais wa Zanzibar na FM Makamba kwenye mikutano Maarufu iliyomhitaji mfano Davis,Mkutano wa Usalama SADC,Mkutano wa Wakuu wa CommonWealth Uganda nk

Kiufupi ratiba ya Rais Iko busy sana na mara kadhaa viongozi wamesema Wakiwa huko Nje Kila Rais anataka kukutana na Samia yaani analazimika kuwakwepa.
 
Nasikia kakimbia tena. Ikitokea wanataka kupokonya ndege kutokana na madeni au hukumu basi tunamuomba mdai amchukue mama juu kwa juu. Tumemchoka
 
Siyo kila jambo la kuleta ujuwaji alafu unakuta hujuwi.Tusiwe na mawazo mgando kwamba asipo safiri atakuletea ugali hapo kwako?Ye ni kiongozi kunawakati lazma akutane na wenzake pia katika kubadilishana mawazo.
 
MC: Shada linalofuata litawekwa na Wawakilishi Wakuu wa Vyama vya Siasa mh Mbowe, mh Zitto Kabwe, mh Rostam Aziz na mh Bashe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom