Napataje kadi ya CCM na kuwa kijana wa UVCCM

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Habari wakuu,

Najua hili ni jukwaa husika nitapata msaada, kwa kipindi kirefu tokea nimalize chuo nilikuwa jkt sikuweza kupata fulsa ya kujihusha na siasa japo tulikuwa tunakutana na vijana wa ccm kwenye kazi mbalimbali kama usafi kwa muda ule hada ningepata dondoo kutoka kwao nisingeweza kujihusisha na siasa

ila kwa sasa naona ni muda ninao, na mara nyingi najifanyia vishughuri vidogo vidogo kwahiyo sio mbaya nikiwa kijana wa ccm japo nilishaluwa chipukizi nikiwa chuo iringa ila sikifanikiwa kuwa na kadi.

Kwahiyo wakuu naomba muongozo naanzia wapi na utaratibu, au kama kuna anae weza kunisaidia nitashikuru sana.

Natanguliza shukurani.
 
Ingia kwenye mfumo kijana

Download apps ya CCM

Nenda kwenye Mtaa wako kuna ofisi za CCM , jisajili na chukua kadi ngumu then finalize kwenye websites application au nenda lumumba pale CCM watakupa utaratibu

Umefanya uamuzi mzuri
CCM ndio maisha, hao wengine tunashukuru kwa ushindani wao
 
Nenda Lumumba uandikishwe kwenye kaunta la buku 7

Kuna siku CCM itajikuta haina wanachama bali ina watu wenye njaa.
 
Ingia kwenye mfumo kijana

Download apps ya CCM

Nenda kwenye Mtaa wako kuna ofisi za CCM , jisajili na chukua kadi ngumu then finalize kwenye websites application au nenda lumumba pale CCM watakupa utaratibu

Umefanya uamuzi mzuri
CCM ndio maisha, hao wengine tunashukuru kwa ushindani wao
Ahsante mkuu nitalifanyia kazi mkuu
 
Sifa kuu ya kuwa mwana CCM ni kujitoa ufahamu
JamiiForums1389173211.jpg
 
Back
Top Bottom