Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo.
Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa...
Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani...
Wanabodi,
Wakati Watanzania tukijiandaa kukumbuka kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwallimu Nyerere, naomba kutoa angalizo la kuizuia kumbukumbu hiyo isitumike vibaya kuupotosha umma eti kuna watu...
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM.
Askofu amesema yawezekana...
Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza...
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila.
Wamasai ni moto wa kuotea mbali.
1. Sokoine - Monduli
2. Lowassa - Monduli
Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro.
Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
Wanabodi,
Jumapili ya leo. nimepata tena fursa ya kuwahamasisha Watanzania, tujitokeze kwa wingi kupiga kura. Mada yangu ya leo ni nguvu ya kauli za ushindi!.
Kuna msemo, kuwa mdomo huumba, au...
Nimepokea kwa mshituko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe.
Nimemfahamu miaka mingi, tumetoka nae mbali na tumesaidiana kwa mengi. Familia zetu, na mapito ya...
Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua...
CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga...
Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of...
Wanabodi,
Jumamosi ya leo, nimepata fursa kuangalia mjadala wa 'Jicho Letu Ndani ya Habari" unaondeshwa na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kipindi kikiongozwa Dotto Emmanuel Bulendu kule Mwanza...
Wanabodi,
Kwanza naomba ku declare my interest, kuwa japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, sio mshabiki wa mtu yoyote, sio mfuasi wa mtu yoyote, Ila kuna watu ninaowakubali sana kwenye...
Kwema Wakuu!
Tofauti na viongozi wengine walio/wanaojivunia Umaskini kwenye majukwaa. Kwa kusema oooh! Mimi mtoto wa maskini, mara ooh! Nimelelewa katika mazingira magumu. Ili wapate huruma au...
Wanabodi,
CC ya CCM, imefanya kazi yake, imelikata jina la kipenzi cha wengi, Edward Ngoyai Lowassa!.
Jee kukatwa huku ndio mwisho wa ile safari ya matumaini, au ndio mwanzo wa safari ya...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa watu tulijibainisha humu kumuunga mkono kwa dhati, Mwamba wa Kaskazini, Edward Ngoyai Lowassa, na tukaahidi humu akiondolewa kwa mizengwe, hatuta kubali...
Wanabodi,
Dhana ya ukombozi ni ngumu sana kueleweka, hata YULE aliyakuja kuukomboa ulimwengu, alikataliwa, wakamtesa, wakamsulubisha kwa kifo cha aibu Msalabani, lakini siku ya tatu, alifufuka...
Katika sera zake na ahadi zake za urais 2015 Lowassa aliahidi kuwa angeunganisha VETA na JKT endapo angechaguliwa kuwa Rais.
Haya yalikuwa maono makubwa naomba yaenziwe na Serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.