Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Poleni Watanzania wote kwa MSIBA MZITO wa Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa Mungu ampe Pumziko la Milele EDO kwa Maumivu yote aliyopewa na watu wake wa Karibu ktk uhai wake. Ni...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini...
0 Reactions
4 Replies
609 Views
Naona kuna wito unatolewa kwa CHADEMA na baadhi ya watu kuwa chama hicho kisitushe maandamano hayo ya kudai haki kupisha maombolezo ya kifo cha Edward Lowassa. Wanatumia kigezo kuwa Lowassa pia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam...
6 Reactions
117 Replies
9K Views
Tunaposema hayati Lowassa alikuwa Mtu wa pekee kabisa hapa Tanzania muwe mnatuelewa Waliomdhihaki leo wanapiga Magoti na Kusujudia Jeneza laki Basi baada ya Yesu Kristo kukata roho yule Akida...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Naanza kuamini kuwa nilikuwa sahihi zaidi kumpatia kura yangu ndugu Edward Lowassa. Kwa hali ya sasa kule Zanzibar, mgogoro wa umeya Dar na Tanga, uamuzi wa "mr. Wakukurupuka" wa kuwatimua...
16 Reactions
74 Replies
8K Views
"Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika...
21 Reactions
136 Replies
10K Views
Chama cha siasa ni muhimili katika mfumo wa kisiasa wa nchi yoyote, na utendaji wake unaweza kuathiri maendeleo na mwelekeo wa jamii. Hata hivyo, swali linalojitokeza ni jinsi gani tunavyoweza...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Watu wengi wakisikia maneno ya kina Tundu Lissu , Mbowe na kadhalika, yakionyesha kutoridhishwa na raisi Samia katika majukumu yake kama raisi wa Tanzania, wanapata hisia kwamba watu wa upinzani...
0 Reactions
7 Replies
941 Views
Hotuba ya Julius Malema kwenye msiba wa Winnie Mandela ilihitajika sana kwenye siku ya kumuaga Lowassa na ingependeza itolewe na mtu kama Tundu Lissu. Msiba huu umedogoshwa ulipaswa kuwa mkubwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema maandamano yataendelea kama ilivyopangwa kwa kuwa siku tano za maombolezo zitamalizika kesho Februari 14, 2024...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi. Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Kufanya maamuzi mabaya wakati wa uchaguzi kunawagharimu watu wengi sana, wengi hukubali kurubuniwa kwa rushwa au ahadi za madaraka, upendeleo au kumchagua mtu kisa ni wa chama chake hata kama...
1 Reactions
8 Replies
570 Views
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995. Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanaharakati Fatma Karume, amekosoa mfumo anaotumia Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Paul Makonda katika kukusanya malalamiko ya watu na kueleza kuwa ni udhalilishaji. "Sipendi kuona wananchi...
3 Reactions
5 Replies
905 Views
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya...
30 Reactions
53 Replies
5K Views
Rais Samia ni yule yule mama mwenye Upendo, Muungwana, mnyenyekevu na Mwenye Huruma Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda kumjulia hali mh Tundu Lisu kule Nairobi baada ya kupigwa risasi Ni...
0 Reactions
8 Replies
496 Views
Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis mjini Vatican. Angalia picha hapa, VIDEO: TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA Picha - Mwananchi Written by Mjanja M1 ✍️
15 Reactions
94 Replies
10K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa...
8 Reactions
73 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…