Tuliohusika kumuumiza Edward Lowassa kisiasa leo ndiyo siku nzuri ya kutubu

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,037
Poleni Watanzania wote kwa MSIBA MZITO wa Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa Mungu ampe Pumziko la Milele EDO kwa Maumivu yote aliyopewa na watu wake wa Karibu ktk uhai wake.

Ni Muda sahihi kwa wale wote Waliohusika kwa namna moja KUMUUMIZA mtu huyu kwa ajili ya Maisha na Vyeo vya Kudunia.

Wale waliomtukana Waliomkejeli Waliosababisha kipoteza Uwaziri Mkuu wake,Waliokata Jina Lake kwa Uonevu asigombee Urais Waliomwibia Kura zake za Urais licha ya kushinda ni Wakati Sahihi kwa KUTUBU wakati Wanatoa Salamu zao za Mwisho na Wakati wa Mazishi.

Kibinadamu Hayati Edward Lowassa KAFA kwa Kinyongo cha huo uonevu kwani ulifanywa kwa makusudi na Wahusika.

Binadamu tujifunze hapa Duniani tupo kwa Muda VYEO na MADARAKA tunayoyatafuta kwa kuwaumiza Wengine ni kujitafutia LAANA mbele za MUNGU.
 
FB_IMG_1707818163478.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimpambe kinafiki Lowasa!! Huyu bwana anechezea na kudhulumu mali ya Umma!! Nendeni tu mkale Ubwabwa na usafiri umetolewa Bure.

Hatuwezi kuwaenzi wezi wa Taifa hili. Wezi watajiona wanastahili heshima kumbe walitakiwe kupigwa tu kiberiti
 
We jamaa ni wa majita makojo eeeh!?, mfuasi wa"kiongozi wa malaika"!?.
 
Umeanzisha uzi lengo ni Makonda.Huyu MAKONDA mnayemsema vibaya,Wananchi walishamkubali hata leo MAKONDA akigombea urais vs Chadema ataibuka mshindi kwà asilimia za kutosha tu.
 
Siasa Sio kitu rahisi kama kukata gogo chooni bwashee
Muulize John Pombe Magufuli kilichomkuta
2020
Licha ya kujinasibu ni Rais wa wanyonge ila alikata moto baada ya wanyonge hao hao kumchezesha ngoma ya watoto
Mpaka alipoamua kutumia bao la mkono!
 
Kwa vile wameshupaza shingo zao wafuatao watapata laana kama ifuatavyo :-
1)Nape: huyu atakuawa anaishi majalalani kujipatia mlo wake.
2) Makonda: huyu atakuwa anavaa kibwaya na kutembea mitaani huku anakata miuno ya hatari na lile sondo lake lilivyonona.
3) Msukuma: huyu atakuwa anava matambara na atakuwa anaendesha rim ya baiskeli mitaani kama mtoto mdogo.
4) Livingstone Lusinde: huyu atakuwa anatembea uchi wa mnyama huku anapiga marimba ya kigogo.
Nimesema.
 
Poleni Watanzania wote kwa MSIBA MZITO wa Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa Mungu ampe Pumziko la Milele EDO kwa Maumivu yote aliyopewa na watu wake wa Karibu ktk uhai wake.

Ni Muda sahihi kwa wale wote Waliohusika kwa namna moja KUMUUMIZA mtu huyu kwa ajili ya Maisha na Vyeo vya Kudunia.

Wale waliomtukana Waliomkejeli Waliosababisha kipoteza Uwaziri Mkuu wake,Waliokata Jina Lake kwa Uonevu asigombee Urais Waliomwibia Kura zake za Urais licha ya kushinda ni Wakati Sahihi kwa KUTUBU wakati Wanatoa Salamu zao za Mwisho na Wakati wa Mazishi.

Kibinadamu Hayati Edward Lowassa KAFA kwa Kinyongo cha huo uonevu kwani ulifanywa kwa makusudi na Wahusika.

Binadamu tujifunze hapa Duniani tupo kwa Muda VYEO na MADARAKA tunayoyatafuta kwa kuwaumiza Wengine ni kujitafutia LAANA mbele za MUNGU.
Wewe toka umezaliwa umeumiza wangapi na adhabu yako ni ipi?
 
Inawezekana nayeye kuna watu aliwaumiza japo haijulikani.

Chamsingi popote ulipo kama binadamu, jitahidi kutamka maneno ambayo hayatakuletea ukakasi kwenye maisha yako,Siasa za matusi,kejeri na character assassination hazipendezi,Nape na Makonda lazima mioyo yao inavuja damu japo hawawezi kusema.
 
Poleni Watanzania wote kwa MSIBA MZITO wa Rais wa Mioyo ya Watanzania Hayati Edward Lowassa Mungu ampe Pumziko la Milele EDO kwa Maumivu yote aliyopewa na watu wake wa Karibu ktk uhai wake.

Ni Muda sahihi kwa wale wote Waliohusika kwa namna moja KUMUUMIZA mtu huyu kwa ajili ya Maisha na Vyeo vya Kudunia.

Wale waliomtukana Waliomkejeli Waliosababisha kipoteza Uwaziri Mkuu wake,Waliokata Jina Lake kwa Uonevu asigombee Urais Waliomwibia Kura zake za Urais licha ya kushinda ni Wakati Sahihi kwa KUTUBU wakati Wanatoa Salamu zao za Mwisho na Wakati wa Mazishi.

Kibinadamu Hayati Edward Lowassa KAFA kwa Kinyongo cha huo uonevu kwani ulifanywa kwa makusudi na Wahusika.

Binadamu tujifunze hapa Duniani tupo kwa Muda VYEO na MADARAKA tunayoyatafuta kwa kuwaumiza Wengine ni kujitafutia LAANA mbele za MUNGU.
Nyerere Mkewe akamtubie maana alishakufa. Na yeye ndio haswa alimnyima huo uraisi.
 
Back
Top Bottom