Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023. Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna andiko linazunguka hapa jukwaani likisema Makonda anatumia ziara zake kumjenga MAKONDA AJAE NA SIO CCM Swali makondoka anajengeka? Nani hasiyemjua Bashi dhidi malove davi yake juu ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiweka katika uangalizi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Lindi (Luwasa) kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuahidi kuleta timu itakayowasaidia kuandaa...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya...
13 Reactions
58 Replies
5K Views
Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ifike mahali tutenganishe siasa na kazi, nimechukizwa sana na Hawa watu wanaojifanya ni viongozi wa Chama cha kijani kuingilia majukumu ya watumishi. Tena nitoe Kongole la nguvu kwa huyu daktari...
12 Reactions
117 Replies
15K Views
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata...
16 Reactions
76 Replies
4K Views
Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana. Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana...
2 Reactions
6 Replies
526 Views
Tanzania siyo kisiwa hivyo tunahitaji viongozi waliobeba maono ya Dunia ambao wakigonga hodi ubalozi wowote wanafunguliwa mlango Freeman Mbowe amefikia Wakati wa kustaafu lakini Siasa za Tanzania...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimepita katika Ofisi kadhaa za umma ikiwemo Hospitalini. Nimekuta watumishi wa umma katika Ofisi hizo wakiogopa sana ujio wa Makonda kama ilivyokuwa wakati wa JPM. Nimekuta wengi wakijiweka sawa...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala. Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae...
40 Reactions
276 Replies
20K Views
Mbunge wa Nzega Mjnini Bashe (CCM) amelitaka Bunge kuangalia sheria zote ambazo zinamzuia au zinamuwekea Raisi Magufuli kizingiti kwenye kutekeleza majukumu yake ya kuindustrialize nchi yetu basi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jambo hili wabunge mlipeleke Bungeni kisha muunde kamati teule ya Bunge kuchunguza ukweli wa jambo hili na ikithibitika tuhuma hizi ni za kweli Bunge liweke maazimio ya kuitaka serikali ichukue...
14 Reactions
62 Replies
6K Views
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amefunguka na kusema kuwa kwa twakimu mbalimbali ambazo zinatolewa na BoT zinaonyesha mambo hayapo sawa hivyo kuna haja kubwa kwa Serikali kupitia Waziri...
11 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…