RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga...
Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly?
Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa...
Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi...
JAKAYA KIKWETE MUASISI WA JIJI JIPYA LA DAR ES SALAAM LENYE MIUNDO-MBINU YA KISASA
Awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete kwa nia safi isiyo ya kidikteta iliasisi ujenzi wa barabara pana za...
Waziri wa ajabu sana tena sana khasa kwa nchi yetu nieleweke nimesema kwa nchi yetu ambayo viongozi wengi wanajitoa akili hili wabaki kwenye teuzi lakini ajabu ya huyu waziri anajiuzulu mwenyewe...
..Majengo au minara ya kifahari ni utambulisho kwa miji mikubwa na hata nchi mbalimbali.
..Nitatoa mifano michache.
..Mnara wa Eiffel ndiyo utambulisho wa jiji la Paris.
..Haiyumkini mtu...
Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti
Na Edmund Salaho/Serengeti.
Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi...
Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina leo wamewavaa vikali bungeni waziri wa nishati pamoja na naibu wake kutokana na tatizo la kukatika umeme na kuchelewa kujazwa maji kwa bwawa la kufua umeme la mwl...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli leo akiwa anaomba kura Karatu ambako ni nyumbani kwa Slaa amesema wazi kuwa tangia mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini Tanzania, kama...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kufanya vibaya kwa MSD mwaka huu kwenye report ya CAG haitokani na sheria mbovu za manunuzi pekee mbali mipango mibovu ya uongozi wa bohari ya dawa.
Amesema...
Rais Samia amesema anashangazwa na baadhi ya watu kutumia maisha yao kuchafua nchi yao Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla kwa kulitangaza vibaya huko kwenye anga za kimataifa.
Rais Samia...
- Mbowe adaiwa kumiliki Jumba Dubai, Ngeleja naye yumo
Mwenyekiti wa Chama ch Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja na Mfanyabiashara...
Mbunge wa jimbo la Buchosa mh Erick Shigongo amesema miaka miwili iliyopita pato la taifa lilikua hadi kufikia dola 1080 na kuiwezesha Tanzania kuingia uchumi wa kati lakini sasa pato la taifa...
Rais Samia wakati anawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua amesema kama kuna jambo ameligundua na linamtesa ni kwamba watumishi wengi wa umma hawajielewi na ili wawe na nidhamu ya kufanya kazi...
Hello wajamvi
Mko salama kabisa. Nimeitoa mahali. Tuchambue hotuba za viongozi wetu. Leo ni yupi huwa akitoa hotuba anakuwa na tija?
Mimi huyuu Waziri wa Habari na Teknolojia nawazagaa sana...
Ushindi wa Profesa Hosea kwenye TLS licha ya kupingwa na Tundu Lissu imeendelea kuthibitisha kuwa Lissu haungwi mkono hata na mawakili wenzake.
Ushindi wa Profesa. Hosea umeendelea kuthibitisha...
Rais Samia amesema aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na kuhamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje baadae akimwambia Rais pale Ulinzi ndio panamfaa zaidi na Rais Samia akamkubalia na kumrudisha
Nafasi yake pale...
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii wa awamu ya tano Dkt. Hamis Kigwangala alishawahi kunukuliwa akisema mwekezaji wa kitalu cha uwindaji Ngorongoro amekuwa na tabia ya kuhonga viongozi...
Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu kwa mara nyingine tena amewakumbusha timu gaidi kuwa kazi aliyoifanya hayati Magufuli akiwa Rais wa nchi hii ndani ya miaka mitano ni ya kupigiwa mfano na amemuombea...