Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,947
- 19,842
Rais Samia amesema anashangazwa na baadhi ya watu kutumia maisha yao kuchafua nchi yao Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla kwa kulitangaza vibaya huko kwenye anga za kimataifa.
Rais Samia ametolea mfano baadhi ya viongozi wa upinzani kusafiri nje ya nchi na kuanza kutangaza Tanzania kuna udikteta mara hamna uhuru wa habari, mara kuna mauaji, mara kuna njaa watu wanaishi chini ya dola moja wakati siyo kweli.
Rais amesema Tanzania ina vitu vingi sana vya kutangaza kama madini hali ya hewa, ukarimu wa Watanzania, mbuga nzuri etc kuliko kukalia kutangaza upuuzi tu unaosababisha hao wanaotangaza kudharaulika pamoja na nchi yao.
My take.
Ujumbe huu uende moja kwa moja kwa Tundu Lisu, Lema, Zitto pamoja na Fatuma Karume wakumbuke wamesoma kwa rasilimali za Tanzania na siyo hao wanaojikomba kwao.