Si Profesa Edward Hosea tu, Kanda ya Ziwa imejaa viongozi makini

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,731
15,190
Ushindi wa Profesa Hosea kwenye TLS licha ya kupingwa na Tundu Lissu imeendelea kuthibitisha kuwa Lissu haungwi mkono hata na mawakili wenzake.

Ushindi wa Profesa. Hosea umeendelea kuthibitisha kuwa Kanda ya Ziwa ina hazina ya viongozi makini, mfano ni mwl Nyerere na Dkt. Magufuli.
 
Na wewe kama ni Kanda ya Ziwa na ndio sampuli ya huko mbona kama unawaangusha wenzako...., Mambo ya kuleta Ukanda ni Kufirisika ki-fikra..., nadhani not in so many words maneno kama hayo au yanayomaanisha hicho yalishasemwa na huyo JKN
 
Huo ndiyo ukweli rais wa taasisi yoyote ili ashinde lazima Lakezone itoe endorsement.Uliza yule wa TFF, TLS na wa JMT .Haaàaaa ndiyo ukweli
 
TLS ILITAKIWA IWE NA MTU MWENYE UTHUBUTU WA KUIKOSOA SERIKALI INAPOTOKEA IMEFANYA MAMBO AMBAYO NI KINYUME NA KATIBA AMBAYO NDIO SHERIA MAMA YA NCHI BILA KUJALI CHEO CHA MTU KISIASA AU KISERIKALI.Dr HOSEA ALIKUWA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU,KWA HIYO HANA GATS ZA KUIKOSOA SERIKALI KIVYOVYOTE,HATA KAMA IMEENDA KINYUME NA KATIBA YA NCHI."KUCHAGULIWA KWA HOSEA,INAONYESHA JINSI MAWAKILI WENGI WALIVYO NI WANACHAMA WA CHAMA TAWALA CCM.
 
Sawa ila ni timu Msoga/Samia..

Huyu sio timu Sukuma gang
kumbe kigogo aliwakamata masikio wajinga wajinga wengi, na kwa ujinga wao utakuta VP Mpango ni sukuma gang, PM Majaliwa ni sukuma gang, Spika Tulia ni sukuma gang, CDF Mabeyo ni sukuma gang, IGP sirro ni sukuma gang, Rais Hussein Mwinyi ni sukuma gang, nk
 
mie pamoja na HOSEAkutoka kanda ya ziwa bado simkubali maana anakuwa kimya sana.Sheria kibaozinavunjwa,katiba inasiginwa yeye kimya.Sasa umuhimu wake ni nini?
Wachawi wengi km uyu mleta mada ni baadhi ya mashetani wanaoyafuraia.
Nadhan tjifunze kuwaelewa kwa mienendo yao
 
kumbe kigogo aliwakamata masikio wajinga wajinga wengi, na kwa ujinga wao utakuta VP Mpango ni sukuma gang, PM Majaliwa ni sukuma gang, Spika Tulia ni sukuma gang, CDF Mabeyo ni sukuma gang, IGP sirro ni sukuma gang, Rais Hussein Mwinyi ni sukuma gang, nk
Hakuna Sukuma gang hata mmja kwenye hilo kundi ulilotaje except CDF ambae yuko neutral na anataka sheria zofuatwe..

IGP Sirro hana impacts Sana anaweza badilishwa anytime na huyo ndio anaonekana ni Sukuma gang kwa sababu za kiburi tuu cha asili ya kabila lake..

Wengine wote ni majeruhi wa Siasa za Jiwe kudhalilisha watu hadharani bila kuwaheshimu..

Imagine PM alivyofanywaga na kina Jiwe na Makonda,VP Mpango alivyokuwa anatukanwa na kusukumizwa na maventilators kwa waandishi eti akaongeshe tuko fit and such nonsense..

Mbaya zaidi Jiwe alikuwa haheshimu mipaka ya Kazi wala kuwaamini wateule wake.

Mwisho ukishaingia kaburini huna chako hakuna wa kuhangaika na wewe tena watu wanaganga yajayo.
 
Hosea ni mtu wa kitengo. Kama Wanasheria wasomi wameingia mtego wa UWT........ The Watanzania bado tuna safari ndefu ya ukombozi.
 
Back
Top Bottom