Kiongozi yupi huwa akitoa hotuba zake zina tija?

kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
1,072
1,340
Hello wajamvi

Mko salama kabisa. Nimeitoa mahali. Tuchambue hotuba za viongozi wetu. Leo ni yupi huwa akitoa hotuba anakuwa na tija?

Mimi huyuu Waziri wa Habari na Teknolojia nawazagaa sana.

Karibuni sema wakoo

Screenshot_20240126_100324_Instagram.jpg
 
Kama tukipata time ya uchaguzi chadema kwa kutumia rasilimali watu hao hapo juu wanaingia ikulu asbh.yaani ukimchukua Lema au sugu au msigwa ni zaidi ya CCM wote tz.
 
Kama yule aliyesema Mageti ya Polisi yaondolewe na Utitiri wa Trafiki Polis kweli yakaondolewa na Matrafiki wakapunguzwa.

Sasa hivi wameanza kujaa Mabarani na Mageti ya Usiku yamerudi.😆
 
..Tundu Antipas Lissu.

..ndiye mwanasiasa ambaye akihutubia popote pale huna wasiwasi naye.

..Na Lissu huandaa hotuba mwenyewe, hana waandishi wa hotuba.

..Tz tuna viongozi wakubwa wanaandaliwa hotuba lakini bado wanapata changamoto ktk uwasilishaji.
 
Samia, Dotto Biteko na January Makamba

..hao wakihutubia unaweza kulala usingizi.

..Prof.Kabudi kwa upande wa Ccm ndiye mwenye uwezo wa kuhutubia na hotuba ikawa na uzito.

..hata Magufuli alijua hana uwezo wa kuhutubia ndio maana alikuwa akimchomeka Kabudi aweke hadhira sawa.
 
Back
Top Bottom