Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema anajutia uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA, akieleza kuwa chama hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa kujenga safari yake ya...
Huwezi amini!
Anayemteka Mtanganyika ni Mtanganyika, anayemuua Mtanganyika ni Mtanganyika, anayempoteza Mtanganyika nu Mtanganyika.
Ukimuuliza kwanini unamfanyia hivyo kaka yako mdogo wako...
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi...
Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Kati imemsimamisha uongozi rasmi Katibu wake Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, kwa kosa la kukiuka maadili na kutoa shutuma nzito hadharani dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesikitishwa na taarifa kutoka Gereza la Bunda, Mkoani Mara anakoshikikiwa Yohana Kaunya, Katibu Mkuu Mstaafu wa Baraza la Vijana Taifa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Je,
hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa? :1Head:
Suala la Maridhiano na CCM
Mange Kimambi anadai kuwa amepata...
CCM wana lilia sana maridhiano na Chadema, wakati waliwazuia wasishiriki uchaguzi, mmeua, kuteka wapinzani wenu, mmewaweka viongozi wake vizuizini, mnawafanyia fitina, lakini kutwa nzima mnataka...
Soma pia: Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure
Mgombea wa urais kupitia Tiketi ya chama cha ADA TADEA Georges Bussungu akiwa na...
Leo nimeshangaa sana eti aliyeiba kura, kuua watu na hatimaye kuingia madarakani kwa nguvu. Anatoa somo la ustaharabu, amani na utulivu.
Hii roho ya kishetani kweli na wala aibu ya dhambi haimo...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa ziarani Mkoani Mara, Julai 1, 2026 amewatolea uvivu wanaharakati mbalimbali nchini kwa kuweka wazi kuwa hana heshima nao hata kidogo na wala hajali kuhusu...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula...
Bunge la Tanzania lina zaidi ya wabunge 100 wa viti maalumu. Hawa watu mchango wao ni upi kwa Taifa? Nikweli nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania tunahitaji kurundika watu wote hao bungeni...
Kwasababu ni wazi,
kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya...
Unaweza kuthibitisha mwenyewe kwamba wajinga waliisha Tanzania.
Hayupo mTanzania atakae kubali tena kujitokeza barabara kupiga mayowe kama mwendawazimu, kopora mali za wengine, kuharibu...
Haitham Nassor Suleiman, amevituhumu vikali vyuo vikuu na asasi za kiraia (CSOs) nchini kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kimsingi wa kuwajengea uwezo wa kuhoji na kuwapa jukwaa vijana ...
Mwandishi Salim: ‘Wenzetu wanafundishwa stadi za maisha, sisi watoto wetu kuimba mwenge, Mama Samia kafungua hiki..’Mwandishi Mwandamizi Salim Said Salim ameyasema haya Julai 9, 2026, katika...
Wakuu,
Wanasema Media ni 'Watchdog' ikimaanisha ni muhimili unaojitegemea ikiwa na majukumu ya kulinda maslahi ya umma kwa kuvumbua mabaya na kuyasemea yale ambayo serikali inafanya.
Kwa kauli...
Kama kawaida kwa viongozi wa kiroho wamekuwa wakiipatia jamii ya watanzania kupitia majukwaa mbalimbali hapa nchini.
Naomba tumsikikize...
Akizungumza katika Jukwaa la Demokrasia Tanzania kuhusu...
Aboubakari Bernard Mashambo - Katibu wa Chadema jimbo la Bumbuli amemtaka Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, kuachia ngazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazodaiwa kuhusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.