Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje.
Amesema kipindi Wenje kachukua...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 10, 2026, amesema Kamati kuu ya Chama hicho imerejea uamuzi wake wa awali...
"Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema...
Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa...
Mnyika amesema kuwa fedha za tonetone zinazokuswanywa mikutanoni zinawekwa banki, na kisha ili pesa itoke ni lazima ziwekewe saini na watu 2, hivyo pesa za makao makuu zinatoka zikiwa pesa ikiwa...
https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE
"Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na...
Aliandika Facebook Mwachieni Lissu, siasa mtaani zinoge.
MWALIMU WA ITUNGE SECONDARY KYELA,MBEYA ASHIKILIWA NA POLISI ZAIDI YA WIKI TATU BAADA YA CHAPISHO LA FACEBOOK
Mwalimu wa Shule ya...
Chadema mmevuka milima na mabonde mkiwa jasiri, Leo mnakubali vipi Kutibuliwa vumbi nanyi mnajaa upepo?Je mmerogwa?
JIFUNZENI Kuachilia mambo na kusoti mambo madodo ili mbaki salama, Acheni wenge...
Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema
Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena
Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio...
Waliokua wamepanga kumuondoa Joh Heche kwa kutoa uhai wake ndo wamekuja na hii plani kwamba Heche ametumia vibaya pesa za michango ya chama? Heche si ndo huyu huyu dereva wake amefariki Kifo cha...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine...
Likazama likachomoza hatimae 2027 hii hapa huku na kule wanaharakati wanaitisha maandamano siku ya ufunguzi wa michuano ya AFCON, Balozi za Mataifa ya Nje zikatoa taadhali kwa raia wao
Mtatumia...
Hii ndio Taarifa ya sasa, Japo bado tuichukue Kama tetesi.
Binafsi nawatakia kila la heri, hii ni kwa sababu Kama wameridhiana Zanzibar kwanini isiwe Tanganyika ambako pia vyama vyao ni vilevile?
Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne...
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa...
Kiwango cha tofauti ya nchi zote kabisa za Africa hasa za watu weus na nchi zingine ni kikubwa kwa kila eneo.
Maendeleo, ugunduzi, utafiti, siasa, elimu hata michezo.
Muda wote wenzetu kuanzia...
Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29.
Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao.
1. Kwanza kususia...
Hii Hotuba ya Bajeti ya Upinzani leo Bungeni ni hatari sana ,maana imeonyesha uozo mkubwa sana wa serikali katika maeneo yafuatayo;
1. Vitabu vya mapato na matumizi havibalance
2. Bajeti sio...
Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua.
Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.