Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefanya utafiti kuwa vijana wengi wa vyuo vikuu wanatamani kujiunga na CHADEMA ila hawajui matumizi ya si digital app ya chama chenu Nawashauri mfanye kampeni mahususi ili vijana wajiunge na...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama. Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye...
16 Reactions
39 Replies
608 Views
Tanzania imetambulika Duniani kote kutokana na mauaji makubwa ya wananchi ambayo watawala waliyafanya ili kujichukulia utawala kwa nguvu. Baada ya tukio hilo Tanzania ilitajwa na vyombo vikubwa...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Kufuatia yaliyotokea (sitayarudia hapa), kuna wenye mtazamo kwamba ni matokeo ya ujumbe vs usahihi wa jukwaa ulipotolewa. Binafsi nimejikuta na fikra tofauti. Je, ni sahihi kuhitimisha kwamba...
1 Reactions
0 Replies
43 Views
Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030. Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
https://www.youtube.com/live/B0XpN97VAG4
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Maisha ya Lissu yamekua ya mchaka mchaka toka anasoma mpaka kwenye SIASA ni maisha yaliyojaa milima na mabonde kwa ushawishi alionao ni mda wa Lissu kutupatia kitabu kinachoeleza maisha yake...
0 Reactions
4 Replies
82 Views
Jambo Moja kubwa sana la uhakika ni Kua CCM Mule ndani na Genge lao hamna mwenye akili kabisa !. Ingawa wako Serious kabisa kwenye Mipango hayo hata kama ni ya kuuua Mtu, wako Radhi kuua . Hivi...
9 Reactions
29 Replies
551 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata...
1 Reactions
15 Replies
949 Views
  • Redirect
Ameandika Rais wa TLS , Wakili Boniface Mwabukusi KUNDI LA HATUA ZA KIWIZARA LA JUMUIYA YA MADOLA (CMAG) Mkutano wa Sabini na Tatu 10 Julai 2026 Tamko la Hitimisho 1. Kundi la Hatua za...
3 Reactions
– Replies
– Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena...
2 Reactions
17 Replies
510 Views
Tanzania tunafahamu kuwa tuna Majeshi ya aina tofauti na yote yana viongozi wake, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lililo chini ya Jenerali Jacob John Mkunda lina Kamandi 5 - Kamandi...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni Utamaduni wa ajabu kabisa wa baadhi ya Wanaharakati au Baadhi ya wadau wa vyama vya Upinzani kupinga kila ambalo linafanyika but je ni Sawa sasa kupinga hata MARIDHIANO ya kumaliza shida na...
3 Reactions
24 Replies
301 Views
Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu...
15 Reactions
20 Replies
423 Views
  • Redirect
Soma mwenyewe! Summary si rahisi kuifanya as itself is a summary!
0 Reactions
– Replies
– Views
Comrades and well wishers of our great and beloved country, I am persuaded to join a call that the self positioned into power the so called chama cha mapinduzi now has met all tenets required to...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia. Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa...
4 Reactions
15 Replies
236 Views
Baada ya Mnyika kusambaratisha mkakati wa Mamluki, wa ndani na Nje ya Jf wakiwemo baadhi yao ndani ya Chadema, imeamriwa wote Waliolipwa warejeshe Mpunga huo haramu Hii ni kwa SABABU chochote...
26 Reactions
31 Replies
781 Views
  • Redirect
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio...
-1 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom