Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Hamjambo! Maswali kama nilivyouliza. Kama wanaojiuza wanatoka Bara na Kenya, je wanunuzi wanatoka wapi? Na kwa nini Zanzibar iwe soko la biashara hiyo? Huwezi fungua soko la Dhahabu Iringa...
8 Reactions
35 Replies
552 Views
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Wilaya ya Mbeya Vijijini, Amoni Masinga, amesimulia jinsi askari walivyovamia nyumbani kwake na kuacha watoto wake wawili wakiwa na vilema kutokana...
5 Reactions
7 Replies
250 Views
Jilindeni sana, Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025 Britanicca
22 Reactions
80 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na kauli zenye mwelekeo wa kibaguzi kutoka pande mbili za muungano wetu. Na mpaka sasa hatujasikia kauli thabiti ya serikali kuzikemea kauli hizi. Wasiwasi wangu, kauli...
5 Reactions
17 Replies
251 Views
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania. Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues"...
1 Reactions
18 Replies
166 Views
Mwezi huu tumeona nchi za afrika mashariki zimeonyesha budget zao, sasa na mimi ambaye nina ambitious za kuwa Rais wa Tanzania nimetoa mapendekezo yangu ya budget 👇 Itakuwa ni budget ya trillion...
8 Reactions
37 Replies
507 Views
Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
0 Reactions
5 Replies
140 Views
Kundi la vijana limezuia shughuli za maziko ya dereva bodaboda Emmanuel Mwanry, yaliyokuwa yafanyike katika Kijiji cha Ngirinyi, Kata ya Levishi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wakishinikiza...
3 Reactions
7 Replies
262 Views
Viongozi wanaotuongoza wamejilimbikizia ukwasi ambao ni kufuru kwa MUNGU. Wako tayari hospital zikose dawa wananchi wafe hospital kukosekana dawa ila wao na familia zao zinapata matibabu ulaya...
11 Reactions
26 Replies
623 Views
Wakuu, Tulijua Balile umeshanunuliwa ila hii ni moto wa kuotea mbali, mbali na kutusaliti sisi umejisaliti hadi wewe mwenyewe, yaani unasaliti hata kile ulichoamua kukisimamia na kukipigania...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
  • Redirect
Mhe.rais naomba msaada wako tafadhali nakuomba uniwezeshe kikao na mgodi wa BARRICK NORTH MARA Ili wanilipe pesa zangu nimemtumia pesa na nguvu zangu kutafuta haki yangu kwanzia ngazi ya chini...
1 Reactions
Replies
Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amekanusha vikali madai kuwa Shilingi Milioni 900 zilizotolewa na wafadhili zitatumika kufadhili maandamano ya mwezi ujao, akisisitiza kuwa kauli hizo ni...
3 Reactions
2 Replies
189 Views
Nadhani tuwekane sawa naona kuwepo kipindi maalumu cha kuwapa mazoezi ya urais wanaochaguliwa, maana mtu akiwa waziri wa wizara fulani hata akiwa rais anadhani ye bado ni waziri wa sekta hiyo Hata...
13 Reactions
38 Replies
5K Views
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini, hatua inayofanya huduma za tiba kuboreshwa kwa...
2 Reactions
10 Replies
245 Views
Wafanyabiashara wa masokoni katika eneo la Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam wameviomba vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza ulinzi kwenye maeneo muhimu ya kufanyia shughuli za...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Kwanini CHADEMA muda wote huwa hawakusema kuhusu kupokea hela, wameamua kujitokeza sasa hivi. Je kwanini CHADEMA wameificha taasisi inayowapa hela, je kuna ajenda gani.? Chadema kila siku...
2 Reactions
6 Replies
159 Views
Trump amewambia viongozi wa G7 kuwa MoU ambayo Marekani inatarajia kusaini na Iran siku ya Ijumaa, siyo mwisho wa mambo, na kwamva asiporidhika nayo, Marekani itarejea kwenye vita, na kuipiga...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara aliyasema hayo Juni 16, 2026 alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
2 Reactions
21 Replies
581 Views
Wanabodi, Kitendo cha taarifa nyeti za mambo binafsi ya ndani kabisa yanayotokea ndani ya nyumba yetu na kupelekwa nje ya nchi na hatimaye kuvujishwa kwenye mitandao ya kijamii zikitokea nje ya...
55 Reactions
345 Replies
37K Views
Back
Top Bottom