Ni mawazo yangu ya Usiku: Magufuli Tanzania inataka azimio la Chato

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kupitia mambo mengi yanayoendelea nchini kwetu, mengi yanazungumzwa tena Kwa Ushabiki,

Ninawaza kwamba hivi kwanini tusiwe na Azimio la Chato ambalo litazungumza haya
1.Mtanzania huruhusiwi kumkosoa Rais wa nchi maana mpaka watanzania milion 8 wamemchagua wanaamini ndo ana akili kuzidi wote

2.Wakurugenzi na DED hawaruhusiwi kutangaza ushindi wa chama chochote cha upinzani while salary wanalipwa na CCM

3.Mtandao wowote wa simu lazim u dukue mawasiliano ya wapinzani wa Rais kujua wanapanga nini

4.Mtanzania yeyote haruhusiwi si tu kupanga kugombea bali hata harakati za urais kama rais yuko nchini hata kama Muda wa uchaguzi umefika

5.Wale wote wanaotweet sana wapewe kesi za money laundering kuanzia 172 Million

6.Huruhusiwi kuongelea takwimu yoyote ile hata idadi ya wanao mpaka uruhusiwe na NBS

7.Makao Makuu yasiwe Dodoma yahamishiwe chato kabisa

Let us Chatolize the Country

Britannica
 
Maazimio ya Chato (inaendelea...)

10. mtu pekee mwenye mawazo na mipango ya kuiendeleza nchi hii ni Rais peke yake.

11. kama mtu anashukiwa kuwa anayo mawazo ya kumpinga rais, mtu huyo akamatwe, awekwe ndani akisubiri kutengenezewa makosa atakayo tuhumiwa juu yake. Na makosa hayo hayatakuwa na dhamana.

12. kwa watuhumiwa maalum, wataruhusiwa kulipa watakachoamriwa kulipa na tuhuma zote juu yao zitafutwa.

13. Ni wakati mwafaka wa kuanza kuhoji: hivi rais wetu akitoka, yupo mwingine atakayeweza kuongoza?
 
Wakati mwingine tumwache rais achape kazi tupunguze malalamiko mengi
 
Maazimio ya Chato (inaendelea...)

10. mtu pekee mwenye mawazo na mipango ya kuiendeleza nchi hii ni Rais peke yake.

11. kama mtu anashukiwa kuwa anayo mawazo ya kumpinga rais, mtu huyo akamatwe, awekwe ndani akisubiri kutengenezewa makosa atakayo tuhumiwa juu yake. Na makosa hayo hayatakuwa na dhamana.

12. kwa watuhumiwa maalum, wataruhusiwa kulipa watakachoamriwa kulipa na tuhuma zote juu yao zitafutwa.

13. Ni wakati mwafaka wa kuanza kuhoji: hivi rais wetu akitoka, yupo mwingine atakayeweza kuongoza?
Ni maazimio ya Chato
 
Back
Top Bottom