Angalia kuporomoka kwa shillingi tokea tumepata Uhuru

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,634
29,997
MABADILIKO YA THAMAN YA SHILINGI KULINGANISHA NA DOLLA
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS

Sasa mpaka 2026 itakuwaje ,
Note that haya mabadiliko ni kwa Africa nzima si kwa Tanzania tu,
Na kwa Tanzania mwaka 1966 ndo tumekuwa na shilling Yetu baada ya kuvunjika kwa EAST AFRICA CURRENCY BOARD 1965 na mwalimu nyerere kufungua Central Bank ya Tanzania,
 
Kutoka 1996-2006, Shilling ilijidouble kwa dollar,(1USD=580Tsh hadi 1USD=1100Tshs)

Kutoka 2006-2016, Shilling ikajidouble kwa dollar kwa mara nyingine,(1USD=1100 hadi 1USD=2200Tshs)

Nadhani hadi 2026 rate exchange itakuwa mara mbili ya sasa,(1USD=4500) au (1USD=5000Tshs)

Kama trend itaendelea hivi, kuna uwezekano wa kuwa na rate exchange ya 1USD=10000Tshs. ifikapo 2036.
 
hizi takwimu zinapingana na za bot.
zimepikwa!
dola haijawahi kuwa sawa na tsh 5 za tanzania kulingana na bot labda kwa sarafu ya a.mashariki.
 
Kutoka 1996-2006, Shilling ilijidouble kwa dollar,(1USD=580Tsh hadi 1USD=1100Tshs)

Kutoka 2006-2016, Shilling ikajidouble kwa dollar kwa mara nyingine,(1USD=1100 hadi 1USD=2200Tshs)

Nadhani hadi 2026 rate exchange itakuwa mara mbili ya sasa,(1USD=4500) au (1USD=5000Tshs kabisa)

Kama trend itaendelea hivi, kuna uwezekano wa kuwa na rate exchange ya 1USD=10000Tshs. ifikapo 2036.
kila utawala mpya unavyoingia basi dola inaonekana kupanda thamani na haishuki ng'o..kwa nini?!
 
pleo

hujamuelewa jamaa na huwezi kumuelewa Ikiwa si mwelevu ila nimemuelewa sana
km babu yako yupo duniani kamuulize kwann shilingi tano ile kubwa acha hii ndogo ya miaka ya 90 iliitwa DALA
na kuhusu neno la DALA DALA kutokana na dola yupo sahihi
ukumbuke ajasema konda kuishika dola ila nauri kuwa shi 5 wakawa wamaithamanisha na thamani ya dola
ni kama wanasema konda anapiga debe mfano kariakoo nauri shilingi 5 hiyo sasa kwa urahisi au lugha nyepesi wakawa wanaita kariako daladala hiyo
lile neno likakaa midomoni mwa watu mpk leo
nadhani umenisoma km hujaelewa basi Usiku mwema
 
kila utawala mpya unavyoingia basi dola inaonekana kupanda thamani na haishuki ng'o..kwa nini?!
Tuna import kuliko ku export vitu?..kadri siku zinavyosonga mbele, idadi ya watu inaongezeka, kwahiyo mahitaji nayo yanaongezeka.Sasa sisi tuna nunua kutoka nje badala ya kuuza nje.Yaani pesa inatoka badala ya kuingia.Kwa umri wa taifa letu, tungetakiwa kuwa wazalishaji wa kila tunachotumia....lakini sivyo yaani tunaagiza hadi viberiti na tooth sticks? kwa nini shillingi isiishiwe nguvu?. Ukitaka kuprove kwamba TZ ina import kuliko ku export, angalia barabara zetu, upande wa magari yanayotoka bandarini kuja bara umechakaa kuliko upande wa magari yatokayo bara kwenda bandarini.....najua hata nchi jirani wanatumia barabara zetu kuimport lakini sisi tunaagiza kila kitu....VIONGOZI WAACHE UVIVU WAFIKIRIE NAMNA YA KUFANYA TAIFA LETU KUWA LA VIWANDA KIVITENDO NA SII KWA MANENO.
 
Acha kudanganya hizi taarifa zimefanyiwa utafiti pitia bereau de changes, maisha halisi , waliochange kipindi hicho ukitaka na receipt zipo utapewa, dolla moja mwaka 2011 ilikuwa sawa na Tshs 1200- 1300

Bureau de Change gani inauza $ kwa 2200? labda Morogoro, bei ya mjini jana ilikuwa $=2180/2191
 
MABADILIKO YA THAMAN YA SHILINGI KULINGANISHA NA DOLLA
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS

Sasa mpaka 2026 itakuwaje ,
Note that haya mabadiliko ni kwa Africa nzima si kwa Tanzania tu,
Na kwa Tanzania mwaka 1966 ndo tumekuwa na shilling Yetu baada ya kuvunjika kwa EAST AFRICA CURRENCY BOARD 1965 na mwalimu nyerere kufungua Central Bank ya Tanzania,
Du 2005-2015 imepanda kwa shs 1,000 ?!?!
 
Tsh 5 iliitwa dala kwa sababu miaka ya 1971 ilikuwa sawa value na dollar moja.
 
Tuna import kuliko ku export vitu?..kadri siku zinavyosonga mbele, idadi ya watu inaongezeka, kwahiyo mahitaji nayo yanaongezeka.Sasa sisi tuna nunua kutoka nje badala ya kuuza nje.Yaani pesa inatoka badala ya kuingia.Kwa umri wa taifa letu, tungetakiwa kuwa wazalishaji wa kila tunachotumia....lakini sivyo yaani tunaagiza hadi viberiti na tooth sticks? kwa nini shillingi isiishiwe nguvu?. Ukitaka kuprove kwamba TZ ina import kuliko ku export, angalia barabara zetu, upande wa magari yanayotoka bandarini kuja bara umechakaa kuliko upande wa magari yatokayo bara kwenda bandarini.....najua hata nchi jirani wanatumia barabara zetu kuimport lakini sisi tunaagiza kila kitu....VIONGOZI WAACHE UVIVU WAFIKIRIE NAMNA YA KUFANYA TAIFA LETU KUWA LA VIWANDA KIVITENDO NA SII KWA MANENO.
Ifike wakati sasa tuache kufikiria kufanya biashara na ulaya, mfano sasa tunajenga bomba la mafuta kutoka Hoima hadi Tanga na tayari Congo wamesema nao wataunganisha ili mafuta yao yapitie tanga hii ni hatua nzuri sana kiuchumi, tunajenga SGR kutoka Dar hadi Kigali tayari Congo nao wana plan kuunganisha kutoka Kigali hadi Kinshasa kupitia Ruhengeri Goma Kisangani hadi Kinshasa. Tufufue reli ya Tazara ikiwezekana iunge hadi Lubumbashi na upande mwingine iende hadi Lilongwe na Harare. Ulaya waje kama Investers kama walivyokuja GGM Songas Symbion na sasa Statiol.

Tuwekeze kwenye strategical investments, tuangalie competitive advantage tulizo nazo tuzitumie at maximum.
 
Iikuwa 5,hadi 7 na sasa ni zaidi ya 2100 .Shilingi ya Bongo inashuka kwa kasi kuliko pesa ya Kenya.
Tuache kulalamika tu,na kutoa visinginzio vingi,shillingi yetu ipo mahututi.
Tumeshindwa kucheza mchezo wa uchumi ujamaa,na uchumi soko huria,tumebakia kukinga bakuri kwa wahisani.
Ndio hapo anakuja Tinga Tinga anasema futa ujinga huu,rudi kwenye drawing board kama Samsung.
Baada ya miaka 4 tutamuelewa tu.
 
hizi takwimu zinapingana na za bot.
zimepikwa!
dola haijawahi kuwa sawa na tsh 5 za tanzania kulingana na bot labda kwa sarafu ya a.mashariki.
Pleo, usibishe kama hujaenda shule. Neno daladala lilitoka wapi? Ilikuwa miaka ya 1970 ambapo dola moja ya kimarekeni ilikuwa shilingi tano. Nauli ya mabasi ya watu binafsi Dar kutoka Ubungo kwenda mjini ( na sehemu zote) walikuwa wanatoza shilingi 5 against shilingi 200 kwa mabasi ya kawaida na shilingi 3 kwa mabasi ya express ya UDA enzi hizo!ndio watu wakaita dollar dollar (wakatamka dala dala), yaanni nauli gali kwa magari ya watu binafsi imekuwa sawa dola ya kimarekani!- wakaita dala dala meaning dollar.... kama mnavyosema sasa hivi mianne mianne nauli posta etc....
 
hizi takwimu zinapingana na za bot.
zimepikwa!
dola haijawahi kuwa sawa na tsh 5 za tanzania kulingana na bot labda kwa sarafu ya a.mashariki.
Unajua kwanini mabasi ya kubeba abiria mjini yaliitwa daladala?
Ni kwamba nauli ilikuwa tshs. 5/= tu, shilingi 5 wakati huo ilikuwa ni sawa na dola moja, kwahiyo waswahili wakaiita dala, so nauli ikawa ni dala dala popote uendapo. "Mbagala daladala, mwananyamala daladala.........." (kwa sauti ya wapiga debe).

Note; nimehadithiwa na mama.
 
Back
Top Bottom