Katika kila jamii duniani, maendeleo na mabadiliko makubwa hayaji bila watu wenye ujasiri wa kuuliza maswali, kusimamia haki, na kupigania kile wanachoamini kinaweza kuleta maisha bora kwa...
Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya...
Anaandika Mo Mlimwengu
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitolea kwa ajili ya nchi yake. Mwandishi na mwanafalsafa mmoja wa kifaransa ajulikanaye kama François-Marie...
CHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya...
Mara ya kwanza mwezi juni 2026 TCRA wali block account zote na pages za Facebook na hivyo Civilian-Coin alitengeneza akaunti mpya na pages zingine. Juzi Tena wali block Account ya Asubuhi News na...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu nafasi ya wanaharakati wa mitandaoni katika siasa za Tanzania, hasa baada ya kauli mbalimbali zinazowakosoa viongozi wa CHADEMA na kuhoji mwelekeo wa chama.
Swali...
Activism has became a new way of domestic and international terrorism.
Many East and Southern Africa nations are faced with the new wave of terrorism by the name of activism.
Most of activists...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu...
Toka oktoba 29, 2025 linapokuja suala la watu kuandamana, waandamanaji wamekuwa ni Jeshi la Polisi na Majeshi mengine katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani mijini.
Hali ya askari kurandaranda...
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema anajutia uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA, akieleza kuwa chama hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa kujenga safari yake ya...
Huwezi amini!
Anayemteka Mtanganyika ni Mtanganyika, anayemuua Mtanganyika ni Mtanganyika, anayempoteza Mtanganyika nu Mtanganyika.
Ukimuuliza kwanini unamfanyia hivyo kaka yako mdogo wako...
Ule mkataba wa DP world ni wa kujipendekeza tu sio wenye maslahi ya nchi yetu.
Nilisikia DP world wanatumia mashine kushusha mizigo haraka na kwamba sisi tunapakua taratibu sana kwanini na sisi...
Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Kati imemsimamisha uongozi rasmi Katibu wake Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, kwa kosa la kukiuka maadili na kutoa shutuma nzito hadharani dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesikitishwa na taarifa kutoka Gereza la Bunda, Mkoani Mara anakoshikikiwa Yohana Kaunya, Katibu Mkuu Mstaafu wa Baraza la Vijana Taifa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Je,
hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa? :1Head:
Suala la Maridhiano na CCM
Mange Kimambi anadai kuwa amepata...
CCM wana lilia sana maridhiano na Chadema, wakati waliwazuia wasishiriki uchaguzi, mmeua, kuteka wapinzani wenu, mmewaweka viongozi wake vizuizini, mnawafanyia fitina, lakini kutwa nzima mnataka...
Soma pia: Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure
Mgombea wa urais kupitia Tiketi ya chama cha ADA TADEA Georges Bussungu akiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.