Hapo Ikulu siku hizi Pazito, Hakukaliki

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Report ya Uchumi
La Mali za Chama
La Bandari Mpya mtwara
La Usumbufu wa Media
La Kuijaza Burigi
La Nape
La Kabendera
La Kigogo 2014
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
 
Mambo hayaendi kabisa halishikiki jambo, Mafaili yamejichanganya sana,
La Kina Makamba halijafanyiwa kazi
La Morogoro bado
La Ndege limeleta kizaa zaa
La SADC limeyakalia
Hata Shekhe Yahya aliwahi kutamba eti anayajua mambo ya ikulu zaidi, hivyo hata wewe kiumbe ni hivyo hivyo, akili hauna kazi kutabiri vitu ambavyo havipo. Nchi kwa sasa ipo vizuri sana, wananchi wanakula bata kwenda mbele
 
Tunajenga SGR, Ndege ziko angani, tunajenga 2000MW, tunajenga daraja busisi pale Mwanza, Elimu bure, Hospitali kila wilaya na madawa tele..... Piga kazi JPM achana na hawa kenge wanakupotezea timing tu..
 
Back
Top Bottom