Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa.
Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa...
UKIPEWA MADARAKA FANYA KAZI, LETA UBUNIFU, TATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI, ACHA KUWASAGIA KUNGUNI VIONGOZI WENZAKO
Na Comrade Ally Maftah
Nitakuwa wa kwanza kuumgana na Ndugu Paul Makonda ( Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Christian Makonda Katibu wa itikadi , uenezi na mafunzo wa CCM Taifa siku ya jana akihutubia ma elfu kwa Malaki ya wananchi mkoani katavi amewajibu kwa...
Nimemsikiliza vizuri Katibu mwenezi wetu wa CCM. Comred Paul Makonda akiwajibu washambulizi wake kuwa usomi wao usitumike kututesa bali utusaidie kutatua changamoto zetu za kila siku. Kauli hii...
Hakuna mfumo wa serikali mtandao unaotoa huduma kwa wakati. Mifumo yote inasumbua na ipo slow sana.
Kwa wataalam wa TEHAMA mtakubaliana na mimi kwamba kadri mifumo ya serikali ya TEHAMA...
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick.
Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule...
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .
Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.
watangazaji...
Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano.
Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili.
Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao...
Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar...
Salaam,
Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015.
Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea...
Niwapongeze viongozi wa halmashauri Kasulu kwa msimamo wao. Nimpongeze kipekee yule Afisaa Uhamiaji kwa kusimama imara na kuhakikisha hatoi tamko mbele ya Makonda kuhusu Uhalali wa Uraia wa...
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya...
Ujumbe kutoka mdau huko X (formerly Twitter) kwa mheshimiwa Rais na jinsi Mwenezi anavyo mdharau kwa kutenda bila kufikiri kama asemaye "atanifanya nini".
SOMA:
special letter to her excellence...
Kuna Wakati nikikaa Najiuliza hili swali
Je ni kwanini Tulidai UHURU?
Binafsi nilidhani Tulidai UHURU ili TUENDESHE na TUJISIMAMIE MAMBO na MIPANGO yetu kama Watanzania lakini ninachokiona sasa...
Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025.
Kila wakati...
Tofauti na vyama vingine vya Upinzani hawa Chadema wanaamini katika.Mungu wa mbinguni, hawanaga Ushirikina kabisa
Kwa mfano niliona clip Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani Zanzibar akiwa Kigoma...
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu...
Watu wengi wasiotenda haki ni wepesi sana kuamini katika kulogwa na kudhurika. Upenda sana kuifanya jamii ionekane kama ina kizazi cha watu wakatili na ambao wasingependa wenzao wafanikiwe.
Kwa...
Ifikapo 2021 Tanzania tutakua na umeme wakutosha na mpaka mwengine tutauza nje ya nchi alisikika kiongozi mmoja akisema hivyo lakini leo 2024 umeme unakatika kuanzia. Saa 12 asubuhi mpaka saa sita...