CHADEMA tufungue kituo cha televisheni

CHADEMA tufungue kituo cha televisheni

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
8,259
Reaction score
16,181
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .

Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.

watangazaji.

Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.

Mchana GJ Malisa

Jioni Mimi kambona

Usiku John Mnyika na Jacob Mayor

Mahubiri Lema

Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
 
Tena tv iwe kwenye ving'amuzi vyote Startimes, DStv, Azam, pia iwe free to Air channel. Iwe bure. Pia pawe na frequency ya free to air kupitia madishi ya frequency Intelsat 20, na bands nyingine za bure. Ili hata ving'amuzi vyote vikikataa bado tv inarukalive kupitia madishi ya HD fta receiver.Pia iwe inastream mtandaoni 24/7
 
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .

Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.

watangazaji.

Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.

Mchana GJ Malisa

Jioni Mimi kambona

Usiku John Mnyika na Jacob Mayor

Mahubiri Lema

Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
Nimeliandika sana hili sijui kwanini wakuu wa chama hawalitekelezi. Hili tutachangia hakuna shida.
Pili naikubali safu yako
 
Vituo vya TV havianzishwi au kufunguliwa kama vile unavyofungulia mbwa. Kuna requirements zake. Acha ushabiki maandazi
Tena sikuhizi ndio rahisi mno kuanzisha tv kuliko zamani. Maana cha msingi ni kuzalisha vipindi, kuwa na vifaa vya kuruka live na kuwa na mtambo wa kupeleka matangazo kwa mwenye king'amuzi. Pia kuna tv zinaruka kwenye bands za free to air za Intelsat.

Changamoto ya tv ni kuzalisha vipindi na hela ya kuendesha tv.

Narudia tena kuanzisha tv ni rahisi ndio maana hata wachungaji wa juzi tu tayari wana tv zao. Mwamposa ana tv y arise and shine. Suguye ana tv ya WRM.
Pia hata yule Zamaradi ana tv yake ya Zamaradi tv.

Kweli chadema inazidiwa na Zamaradi?
 
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .

Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.

watangazaji.

Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.

Mchana GJ Malisa

Jioni Mimi kambona

Usiku John Mnyika na Jacob Mayor

Mahubiri Lema

Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
Hiki kipndi cha 4 R ni kizuri kufungua Radio na TV mazingira ni rafiki mtaruhusiwa. Rhuksa!
 
Kwa yanayo endelea humu Nchini ni bora Tuanze mchakato wa Kuanzisha kituo chetu cha Tv na Radio .

Tutachangia ujenzi na uanzishwaji,kwani kuna shida gani mbona mengi tumechangia.

watangazaji.

Asubuh kusoma magazeti
Yeriko Nyerere.

Mchana GJ Malisa

Jioni Mimi kambona

Usiku John Mnyika na Jacob Mayor

Mahubiri Lema

Afu muda uliobaki ni kupiga ngoma za sugu Ney wa Mitego
Nilisema kwenye andiko langu moja, CCM-Mama ya Mwl Nyerere ilicapitalize kwenye brains investment na capital investment ili waendelee kudumu na kutawala kwa karne 10. Chama chochote kisicho invest kwenye brains na capital hakiwezi shindana na Chama tawala. Wazo lako ni zuri kabisa ila je kuna brains za kuchachavua hiyo bussiness proposal for short and long term gains on money as well as a vehicle to constantly sell and promote their ideas and themselves.
 
ufipa tv & ufipaFm
 
ukikua utakuja kujua haujui
mixologist
/mɪkˈsɒlədʒɪst/
noun
INFORMAL
  1. a person who is skilled at mixing cocktails and other drinks.
 
Attachments

  • 1707316736603.gif
    1707316736603.gif
    43 bytes · Views: 8
Vituo vya TV havianzishwi au kufunguliwa kama vile unavyofungulia mbwa. Kuna requirements zake. Acha ushabiki maandazi
Yaan wew ni kiazi sana Labda JMT waweke ngumu tuu mbona wao wana Radio Uhuru,Chanel 10
 
Nilisema kwenye andiko langu moja, CCM-Mama ya Mwl Nyerere ilicapitalize kwenye brains investment na capital investment ili waendelee kudumu na kutawala kwa karne 10. Chama chochote kisicho invest kwenye brains na capital hakiwezi shindana na Chama tawala. Wazo lako ni zuri kabisa ila je kuna brains za kuchachavua hiyo bussiness proposal for short and long term gains on money as well as a vehicle to constantly sell and promote their ideas and themselves.
Iwekwe fund rising kwanza watu tutachanga mambo yaende kwa uzuri kabisaaaa
 
Tena sikuhizi ndio rahisi mno kuanzisha tv kuliko zamani. Maana cha msingi ni kuzalisha vipindi, kuwa na vifaa vya kuruka live na kuwa na mtambo wa kupeleka matangazo kwa mwenye king'amuzi. Pia kuna tv zinaruka kwenye bands za free to air za Intelsat.

Changamoto ya tv ni kuzalisha vipindi na hela ya kuendesha tv.

Narudia tena kuanzisha tv ni rahisi ndio maana hata wachungaji wa juzi tu tayari wana tv zao. Mwamposa ana tv y arise and shine. Suguye ana tv ya WRM.
Pia hata yule Zamaradi ana tv yake ya Zamaradi tv.

Kweli chadema inazidiwa na Zamaradi?
MIXOLOGIST read please
 
Iwekwe fund rising kwanza watu tutachanga mambo yaende kwa uzuri kabisaaaa

Kwa cdm ya chini ya Mbowe hilo usitegemee maana muda wote wa uongozi wake imeshindikana. Siku Mbowe aking'olewa kwenye kiti cdm inaweza kuendelea.
 
Back
Top Bottom