CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

Bromensa

Member
Jan 3, 2024
22
21
Salaam,

Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015.

Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini.

Watu wengi walikuwa na imani sana na CHADEMA na walikiona chama hiki kama tumaini lao la pekee lakini mambo yalibadilika sana kuanzia 2015. Chanzo cha mambo kubadilika ni kama ifutavyo.

Suala la Lowassa kuhamia CHADEMA ulikuwa mpango mbovu kabisa
Niseme wazi kuwa ebu fikiria wakati ule walivyokuwa wamewaaminisha umma kwamba Lowassa ni fisadi lakini ghafla akahamia kwenye chama ambacho kilikuwa kinapinga ufisadi. Hii ilipunguza kabisa imani kwa umma.
Lowassa kujiunga CHADEMA ilikuwa na shortcut ya kutaka mafanikio ya haraka lakini madhara yake hayakutazamwa kwa jicho la tatu.

Kuhamia kwa Edward Lowassa kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulileta changamoto na madhara makubwa kwa CHADEMA. Hapa ni baadhi ya madhara hayo:

1. Kupungua kwa Imani ya Umma
Uhamiaji wa Lowassa ulisababisha wafuasi wa CHADEMA na wananchi kwa ujumla kupoteza imani yao kwa chama. Awali, CHADEMA ilijijengea sifa ya kupinga ufisadi, na ujio wa Lowassa, ambaye alikuwa ameshutumiwa kwa masuala ya ufisadi, ulisababisha kutokuwiana kwa imani hiyo.

2. Kuchanganyikiwa kwa wanachama wa CHADEMA
Mabadiliko ya ghafla CHADEMA yalileta mchanganyiko kuhusu msimamo wa chama hicho. Wakati mwingine, wafuasi walichanganyikiwa kuhusu ni kwa namna gani CHADEMA inaweza kueleza , kueneza sera zake na kushughulikia masuala ya ufisadi wakati kiongozi ambaye walikuwa ameuaminisha umma kuwa ni fisadi alikuwa amejiunga nao.

3. Kuhatarisha Uaminifu wa Chama
Kuhamia kwa Lowassa kilileta suala la uaminifu kwa CHADEMA. Baadhi ya watu walihoji ikiwa CHADEMA ilikuwa tayari kuvunja misingi yake ya kupinga ufisadi kwa ajili ya maslahi ya kisiasa au masilahi ya watu wachache. Hii ilisababisha baadhi ya wafuasi na wananchi kupoteza imani yao kwa uongozi wa chama.

4. Kukosa Mwelekeo:
Uhamiaji wa Lowassa ulisababisha CHADEMA kupoteza mwelekeo wake wa awali na kutoeleweka waziwazi kuhusu msimamo wake kuhusu masuala ya ufisadi na utawala bora. Hii iliwafanya baadhi ya watu kuhoji uaminifu wa CHADEMA kama chama cha upinzani kilichokuwa kikishughulikia masuala ya umma.

5. Kupoteza Wanachama na Wafuasi
Baadhi ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA waliochukizwa na uhamiaji wa Lowassa waliondoka chama. Hii ilisababisha upungufu wa nguvu kazi na msaada wa kisiasa kwa CHADEMA. Hii ni pamoja na mimi hapa saizi nawaona wanasiasa kama matapeli tu. Naona siasa ni kama kazi nyingine tu mtaji wake wake ni kuhadaa watu.

6. Kuleta sura mpya kwa watawala (CCM) na wafuasi
Kuleta sura tofauti kwa watawala na wafuasi, CCM huu ndio wakati waliona iona sura halisi ya CHADEMA na ndio maana baada ya uchaguzi viongozi wengi wa chama walihamia CCM (nunua nunua ya kipindi kile).

Ikiwa CHADEMA inaonekana kuwa inakaribisha watu au viongozi walioshtumiwa au kuhusishwa na ufisadi bila kuchukua hatua zinazofaa, hii inaweza kuathiri imani ya watu na kuleta hisia kwamba chama kinaweza kutoa nafasi kwa watu wenye malengo binafsi na tamau ya pesa kuliko kushughulikia maslahi ya umma.

Ni wazi kuweka hata viongozi na baadhi Wabunge wa CHADEMA waliohamia CCM waliona kuhama ni sawa tu kwa maslahi binafsi.

Unless kama CHADEMA ni part ya mfumo wa watawala ila mkubali mkatae huu ndio ukweli. Jitoeni ufahamu lakini ukweli utabaki palepale.

Sikio la kufa halisikia dawa.

TUISHIE HAPA KWA LEO.
Next time tutaangazia suala lingine ambalo CHADEMA wanajizima data​
 
Salaam,
Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015.

Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini.

Watu wengi walikuwa na imani sana na CHADEMA na walikiona chama hiki kama tumaini lao la pekee lakini mambo yalibadilika sana kuanzia 2015. Chanzo cha mambo kubadilika ni kama ifutavyo.

Suala la Lowassa kuhamia CHADEMA ulikuwa mpango mbovu kabisa.
Niseme wazi kuwa ebu fikiria wakati ule walivyokuwa wamewaaminisha umma kwamba Lowassa ni fisadi lakini ghafla akahamia kwenye chama ambacho kilikuwa kinapinga ufisadi. Hii ilipunguza kabisa imani kwa umma.
Lowassa kujiunga CHADEMA ilikuwa na shortcut ya kutaka mafanikio ya haraka lakini madhara yake hayakutazamwa kwa jicho la tatu.

Kuhamia kwa Edward Lowassa kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulileta changamoto na madhara makubwa kwa CHADEMA. Hapa ni baadhi ya madhara hayo:

1.Kupungua kwa Imani ya Umma
Uhamiaji wa Lowassa ulisababisha wafuasi wa CHADEMA na wananchi kwa ujumla kupoteza imani yao kwa chama. Awali, CHADEMA ilijijengea sifa ya kupinga ufisadi, na ujio wa Lowassa, ambaye alikuwa ameshutumiwa kwa masuala ya ufisadi, ulisababisha kutokuwiana kwa imani hiyo.

2.Kuchanganyikiwa kwa wanachama wa CHADEMA
Mabadiliko ya ghafla CHADEMA yalileta mchanganyiko kuhusu msimamo wa chama hicho. Wakati mwingine, wafuasi walichanganyikiwa kuhusu ni kwa namna gani CHADEMA inaweza kueleza , kueneza sera zake na kushughulikia masuala ya ufisadi wakati kiongozi ambaye walikuwa ameuaminisha umma kuwa ni fisadi alikuwa amejiunga nao.

3. Kuhatarisha Uaminifu wa Chama
Kuhamia kwa Lowassa kilileta suala la uaminifu kwa CHADEMA. Baadhi ya watu walihoji ikiwa CHADEMA ilikuwa tayari kuvunja misingi yake ya kupinga ufisadi kwa ajili ya maslahi ya kisiasa au masilahi ya watu wachache. Hii ilisababisha baadhi ya wafuasi na wananchi kupoteza imani yao kwa uongozi wa chama.

4.Kukosa Mwelekeo:
Uhamiaji wa Lowassa ulisababisha CHADEMA kupoteza mwelekeo wake wa awali na kutoeleweka waziwazi kuhusu msimamo wake kuhusu masuala ya ufisadi na utawala bora. Hii iliwafanya baadhi ya watu kuhoji uaminifu wa CHADEMA kama chama cha upinzani kilichokuwa kikishughulikia masuala ya umma.

5.Kupoteza Wanachama na Wafuasi
Baadhi ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA waliochukizwa na uhamiaji wa Lowassa waliondoka chama. Hii ilisababisha upungufu wa nguvu kazi na msaada wa kisiasa kwa CHADEMA. Hii ni pamoja na mimi hapa saizi nawaona wanasiasa kama matapeli tu. Naona siasa ni kama kazi nyingine tu mtaji wake wake ni kuhadaa watu.

6.Kuleta sura mpya kwa watawala (CCM) na wafuasi
Kuleta sura tofauti kwa watawala na wafuasi , CCM huu ndio wakati waliona iona sura halisi ya CHADEMA na ndio maana baada ya uchaguzi viongozi wengi wa chama walihamia CCM (nunua nunua ya kipindi kile).

Ushauri wangu kwako.

1. Punguza kuvuta bangi mbichi sio nzuri kwa afya yako.

2. Stress za kunyimwa tendo na mkeo usizihamishie kwa CHADEMA.

Ni ushauri tu
 
UKWELI MCHUNGU
 
Eti unazielewa sera za CHADEMA hasa Kuanzia 2010_2024 za kuibua mambo makubwa! Kuibua mambo makubwa ndiyo sera? Au hujui maana ya sera? Kama hujui kitu kaa kimya au uliza ufundishwe.
Acha kujiaibisha.
Hujui kitu tulia
 
Back
Top Bottom