Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu
1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uteuzi uliofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza.
" Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya...
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya.
Lembeli amesema tabia hiyo inazidi...
Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za...
Uchaguzi wa 2015 uliendeshwa kidikteta kwenye Vyama karibia vyote
Mbowe alibadili gia angani akamleta Lowassa wa CCM na Babu Duni wa CUF
Dkt. Slaa na Prof Lipumba ndio waliopinga na wakakaa...
Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani .
Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k
ANGALIA VIDEO HAPA...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho...
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na...
sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi.
maoni yangu: Nabe acha kushindana...
Salaam Wadau,
Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye...
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amezielekeza timu za Menejimenti za Halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinasimamia na kudhibi upotevu wa mapato yanayotokana na makusanyo ya ndani katika...
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na...
Nimeikuta hii makala mahali, nikajisemea, wanafiki wote hata geti la mbinguni hawataliona, Makonda akiwemo.
Paulo Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa DSM, alimtafuta mwanamke anaitwa Fatma Chikawe, akampa...
LOWASA: Mfupi wa Maisha na Mrefu wa Historia.
Edward Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgawo wa umeme wala usanii wetu wa Kibongo. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu...
Dk Mwakyembe, Nassari wapimana
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (kushoto) na Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nasari
IN SUMMARY
Wawili hao...
Tunduru - Ruvuma
Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha ukanda wa Morogoro na Selous, daraja kubwa la Mto Muhuwesi lililoko hapa Tunduru limejaa maji hadi juu ya daraja na kwa hiyo tumechukua uamuzi...
Uchaguzi wa viongozi ni mchakato muhimu katika demokrasia ambapo wananchi hupata fursa ya kuchagua viongozi wanaoamini wanaweza kuwakilisha vyema maslahi yao na kuleta maendeleo katika jamii...