Nape: Mapinduzi ya TEHAMA ambapo Akili bandia zitapunguza Ajira hayakwepeki ila tuyachukulie kama Fursa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Waziri wa Tehama ndugu Nape amesema Mapinduzi ya Tehama ambapo Akili bandia zitapunguza Ajira hayakwepeki ila tuyachukulie kama Fursa

Nape amesema ni Wakati sasa bunge kutunga sheria ya kuwasaidia wale watakaopoteza Kazi kwa ujio wa AI waweze kufidiwa

Aidha amewataka Wazazi kuwasomesha Watoto wao masomo ya Sayansi kwa sababu Dunia imeshabadilika

Source: Bungeni
 
Back
Top Bottom