Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Poll Poll
Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari...
2 Reactions
4 Replies
524 Views
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud amesema tatizo la Tanzania siyo Fundi Mkuu (Rais) bali tatizo ni Mkandarasi ( CCM) Ndio ameshindwa Kazi Masoud...
3 Reactions
13 Replies
972 Views
Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala hizi, "Kwa Maslahi ya Taifa" kuzungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa letu liwe ni jambo la kisiasa, kiuchumi au kijamii...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
CHADEMA ndiyo Chama pekee cha Upinzani wa Dhati na ndio maana Chadema chini ya KAMANDA MKUU Freeman Mbowe kinapigwa na kupitia Misukosuko ya kila aina kupitia CCM na SERIKALI yake. CHADEMA chini...
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Mfumo wa Utawala wa JK ulikuwa wa safari nyingi nje. Nyingi ya safari zake zililenga zaidi kukimbia presha ya kisiasa ndani ya nchi sambamba na ugumu wa maisha. Pale alipobaini patatokea hoja...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
JUHUDI ZETU WANAWAKE HAZIPOTEI BURE ZIMEPELEKEA KUINUANA KIUCHUMI NA NDIO DHAMIRA YA RAIS DKT. SAMIA - CDE. MWAJABU Ahimiza Wanawake kuendelea kuelimisha jamii juu ya usawa wa kijinsia na...
0 Reactions
3 Replies
640 Views
Nilifuatilia ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda hadi pale ilipokatishwa kufuatia msiba wa Lowassa Aidha niliyafuatilia Maandamano ya Chadema DSM, Mwanza, Mbeya na Arusha Matukio yote yamekuwa...
5 Reactions
8 Replies
695 Views
Najua ukweli ni mchungu lakini nidawa hivyo lazima tuunywe ilitupone, na yeyote anayeshiriki kumnyima au kutompa dawa mgonjwa kwa wakati ni muuwaji na msababishaji wa madhara yeyote yanayoweza...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzania ya leo Ni nchi ya amani kusifiwa inastahili. Nilitazama duniani kote kuangalia siasa za kweli, sikuona isipokuwa Tanzania. Kwa misingi ya Ujamaa Tanzania ilijengwa. Mwalimu Nyerere...
2 Reactions
8 Replies
575 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa Mpya iliyosambazwa kwa dharula na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka huko Mtwara . Endelea kubakia hapahapa JF kwa taarifa kamili ======== Maandamano kufanyika...
12 Reactions
79 Replies
6K Views
Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua...
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero Barabara ni kero wizi na ufisadi Wa serikali yake ni kero viongozi Wa serikali yake...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi Mkuu wa bandari yetu ya Dar es salaam Ndugu Mrisho amekanusha taarifa za uzushi na uongo mkubwa ulioenezwa na watu kuwa wafanyakazi wa bandari ya Dar...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho Katika uchaguzi huo...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…