Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023.


View: https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU

d529d867-dcca-4dca-b822-7774871d4d55.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili ukumbini katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) tarehe 07 Septemba, 2023.

d516ed2e-5936-44bb-b9d1-8c8fc136e472.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mjadala wa masuala ya Kilimo na Vijana wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.

e8ddd699-6758-4abb-96ee-4ecb7a35dcd5.jpg

d8ee25e1-c3ed-4b18-b7af-dd069251932b.jpg

493630d7-d7ae-45a1-ad1c-737b8394626d.jpg

93871797-b400-4e0f-b109-e46b39383e0e.jpg
Viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa Kilimo wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
 
She is going to give a generic and uninspiring speech as usual. The kind that no one remembers after it's over.
 
Back
Top Bottom