BASATA: Hatuhusiki na suala la Nay wa Mitego kuitwa Polisi, sisi tunahusika na Maadili ya Sanaa tu Siyo Jinai

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,066
Mwanasheria wa BASATA Mhe. Kamugisha amesema wao hawana taarifa za Nay wa Mitego kuitwa Polisi na kwamba mambo ya Jinai siyo majukumu yao.

Kamugisha amesema wao wanadili na Maadili ya Sanaa tu na kwamba walimwita Nay wa Mitego afike Barazani mara mbili lakini hajatokea na jana wamemtumia Wito wa Tatu ili siku ya Ijumaa afike Barazani.
---
Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Kwa Mwanasheria wake Christopher Kamugisha limesema kuwa halihusiki na sakata la Msanii Nay wa Mitego kuitwa na kutakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es salaam.

Mwanasheria huyo amesenukuliwa na @AyoTV_ akiongea yafuatayo hii leo “ameshaitwa BASATA mara mbili hajaja, alitoa taarifa kupitia kwa kampuni mbili za Mawakili, maswala ya Nay wa Mitego kwenda Polisi sina taarifa nayo, tumetoa wito mara mbili kumuita aje hapa kwaajili ya maadili ya kawaida tu lakini hakuwahi kutokea”

Source: Ayo tv
 
Mwanasheria wa BASATA mh Kamugisha amesema wao hawana taarifa za Ney wa Mitego kuitwa Polisi na kwamba mambo ya Jinai siyo majukumu yao.

Kamugisha amesema wao wanadili na Maadili ya Sanaa tu na kwamba walimwita Ney wa Mitego afike Barazani mara mbili lakini hajatokea na jana wamemtumia Wito wa Tatu ili siku ya Ijumaa afike Barazani.

Source: Ayo tv
Baraza limejaa wapumbavu na wazandiki

Halina maana wala mantiki ya kuendeleza sanaa nchini zaidi ya kudidimiza sanaa
 
sheria ichukue mkondo wake alafu bado kuna yule mzee wa kuvuliwa anaye ropoka kama kalewa gongo
 
Back
Top Bottom