Kwa kuwa wote kuanzia Kinana, Nape, January Makamba na Jokate Mwegelo mmekiri hadharani kuwa miaka mitano iliyopita hali nchini ilikuwa mbaya na watu hawa kutendewa haki na walitendewa mabaya ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapo usiku wa jana katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani Rais wetu na jemedari wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha...
Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital .
Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba...
Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeamua nitoe darasa dogo hapa la elimu kwa watanzania wenzangu wenye mawazo ya kijima. Katika kampeni za 2015 hayati Edward lowassa aliyekuwa mgombea wa CHADEMA alisema...
Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na...
International Women's Day ni siku muhimu sana katika kuweka uzani Sawa wa kijinsia. Kutokana na hapo mwanzo kuwepo kwa mifumo ambayo haikutoa fursa Sawa, katika nyanja mbalimbali za kimaisha...
Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema.
Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira.
Hivi walimu kwa uwingi wao...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa...
Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona...
Asalaam Aleikum,
Kama kichwa kinavyojieleza. In Tanzania currently, sio ruling party wala watu wa opposition parties, wote hao wanatafuta political mileages kupitia kumuongelea MZ. Ni kwamba sera...
Wanabodi,
Kwa mila na desturi za kiasili za Kiafrika, Traditional African tradition, kwenye ngazi ya familia, mume ndie mkuu wa familia, ndie anayechagua mchumba, ndiye anaya posa, adie...
Kwanza ifahamike kuwa, shule bure imeongeza ujinga mkubwa miongoni mwa wanafunzi tangu tu huduma hii ilipoanzishwa na serikali
Lengo na maksudi ya Serikali na nia yake, ilikuwa ni njema na nzuri...
Saturday, July 9, 2011, 13:14
* Says currently Mainland meets most of cost in running Z'bar
By Tobias Nsungwe,
Dodoma
A senior Cabinet minister, Samuel Sitta yesterday said in Parliament here...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba...
Angalieni Jinsi vilivyo bomba , halafu tuipongeze Serikali.
---
Mwonekano wa vichwa vipya vya treni za reli ya kisasa (SGR) vilivyofanyiwa ukaguzi na Shirika la Reli Tanzania (TRC) nchini Korea...
Nadhani ili twende sambamba kwa wale wanachama wa CCM wanaohoji uhalali wa Mh. Mbowe kuendelea kuwa madarakani ni vema kwanza suala hili wakawaachia CHADEMA wenyewe kwa sababu ndio waliomweka...
Naelewa vizuri sana na nakubaliana na mantiki ya kuchukua wanafunzi wa kike wenye ufaulu chini kidogo ya wale wa kiume kuwapeleka kidato cha sita na vyuo vikuu. Naona hilo ni jambo lenye mashiko...
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni...