Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
759
1,250
Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.




UPDATE

TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia

1694168132435.png

1694168149312.png
 
Hii nchi inaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana. Unawezaje kuruhusu upumbavu kama huu kufanyika katika nchi yako?.

Bora mzungu aje atutawale tu, ila tabia hizi za kishenzi na upumbavu haziwezi kutufikisha popote kama Taifa.

Ndiyo maana tunadharaulika huko duniani, tunaonekana kama nyani tu.

Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom