Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Katika hili Chadema mlionyesha Uzalendo wa hali ya juu Mmeingia kwenye Vitabu Vya kumbukumbu Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯
1 Reactions
5 Replies
371 Views
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua , Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote...
20 Reactions
57 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wenzangu, leo ni siku tulipotangaziwa kuzimika kwa nuru ya ukombozi wa watanzania. Tuunganane pamoja kuomba Mungu awaibue akina Hayati Magufuli wengi maelfu kwa mamilioni hasa...
2 Reactions
6 Replies
576 Views
Huwa naandika machapisho nabezwa na baadhi ya watu wachache humu wanafikiri huwa nakurupuka kama wao Lakini yametimu kila kitu kitaenda kuwa wazi sasa Mtu ambaye aliweza kushirikiana na mpwa...
94 Reactions
438 Replies
50K Views
Hakuna shaka kwamba makada wa chama cha mapinduzi(ccm)Katika maeneo mbali ya nchi wameanza mikakati ya chini kwa chini ya kujijenga kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani. Baadhi yao...
0 Reactions
9 Replies
871 Views
Ukiangalia mikakati ya Bananga kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utagundua CCM huwa wanashinda kihalali kabisa Kwa sasa Wajumbe wa CCM Wanafanya uelimishaji wa Nyumba kwa Nyumba wakielezea...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed...
2 Reactions
2 Replies
822 Views
Salaam, Shalom!! Tunapoelekea katika kumbukumbu ya kukumbuka miaka 3 ya Mzalendo Magufuli, Tujikumbushe misimamo yake iliyolivusha Taifa huku akiwaacha mbali viongozi wa Dini na Viongozi wa...
34 Reactions
91 Replies
3K Views
Wananchi wa kata ya Kabwe jimbo la Nkasi Mashariki mkoani Rukwa wameandamana kukataa kuongozwa na upinzani baada ya diwani wa kata hiyo kufariki huku madai yao ni kuongozwa na upinzani kwa miaka...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
UFAFANUZI WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA, KUHUSU HOJA YA HOSPITALI ZA SERIKALI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana. Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima...
48 Reactions
433 Replies
33K Views
Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa, Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake. Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua...
23 Reactions
118 Replies
8K Views
Salaam, shalom!!! Akizungumza Kwa uchungu mkubwa na majonzi alipokuwa akimuelezea HAYATI Mwinyi, amesema kuwa Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye kheri, mpole na mstaarabu na muwajibikaji. Amedai...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya...
16 Reactions
103 Replies
4K Views
HONGERA WANASIASA 1. Waendapo majimboni, kuziomba hizo kura, Utadhani wanadini, wenye za upole sura, Magoti wapiga chini, mithili wataka pera, Hongera wanasiasa, kudanganya wananchi. 2. Hupita...
3 Reactions
0 Replies
305 Views
Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa...
5 Reactions
4 Replies
519 Views
https://youtu.be/9o--MLmLUM4?si=N-4_A23mAnehn2e4 Imetolewa na Dkt. Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma
0 Reactions
1 Replies
532 Views
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kuangalia namna bora ya kuja na ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Rais Samia alithibitisha kwamba ndani ya serikali kuna mtandao mkubwa ambao unaiba fedha za umma. Nafikiri sasa Rais asilalamike tu, achukue hatua za kushughulika na mafisadi hao serikalini...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…