Naomba ufafanuzi kwanini CCM inaiita hii ni awamu ya sita wakati utawala wa awamu ya 5 na ilani yake ni 2015/2025?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi

CCM imekuwa ikiviita Vipindi vya Urais kuwa ni AWAMU.

Kwa kuanzia RAIS NYERERE alikuwa Rais Wa kwanza KUTAWALA ikaitwa AWAMU ya 1na ilikoma Mwaka 1985 .
AWAMU ya Pili ilianza 1985 mpaka 1995 Rais aķiwa MZEE MWINYI na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya TATU ilianza 1995 mpaka 2005 Rais akiwa MZEE MKAPA na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya 4 ilianza 2005 mpaka 2015 Rais akiwa KIKWETE na alikuwa na ILANI yake.
AWAMU ya 5 ilianza 2015 mpaka 2025 Rais akiwa MAGUFULI na alikuwa na ILANI take lakini alifariki na Makamu wake RAIS SAMIA akashika USUKANI mpaka 2025.AWAMU huanza kwa kufanya UCHAGUZI na CCM imekuwa na

UTARATIBU wa RAIS kuhudumu VIPINDI 2 yaani MIAKA 10 na kila AWAMU ina ILANI yake ya UCHAGUZI.

Naomba kuuliza
Kwanini Utawala uliopo MADARAKANI unaitwa AWAMU ya 6 wakati HAKUJAFANYIKA UCHAGUZI?

Naomba kujuzwa Utawala uliopo Madarakani unatumia ILANI gani? Na kama inatumia ILANI ya 2020/2025 mbona hiyo ni ILANI ya AWAMU ya 5 na yenyewe inasema AWAMU ya 6?

Je, ni sahihi kusema UTAWALA uliopo ni MUENDELEZO wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na ILANI ya AWAMU ya 5?
 
Wadau nawasabahi
CCM imekuwa ikiviita Vipindi vya Urais kuwa ni AWAMU.Kwa kuanzia RAIS NYERERE alikuwa Rais Wa kwanza KUTAWALA ikaitwa AWAMU ya 1na ilikoma Mwaka 1985 .

AWAMU ya 5 ilianza 2015 mpaka 2025 Rais akiwa MAGUFULI na alikuwa na ILANI take lakini alifariki na Makamu wake RAIS SAMIA akashika USUKANI mpaka 2025.AWAMU huanza kwa kufanya UCHAGUZI na CCM imekuwa na UTARATIBU wa RAIS kuhudumu VIPINDI 2 yaani MIAKA 10 na kila AWAMU ina ILANI yake ya UCHAGUZI.

Je ni sahihi kusema UTAWALA uliopo ni MUENDELEZO wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na ILANI ya AWAMU ya 5?
Kwani hapo ulipo na ofisi za CCM kuna umbali gani? Si nenda kawaulize!
 
Hii nayo ni Post? Mnajaza Server za Jf
 
Awamu ya 5, Rais wa 6.
Simple and clear.

Awamu ya 6, asubirie kwanza azunguke nchi nzima kwa wale ambao sasa hivi anajinasibu ameziba masikio. Sijui na wao watamzibia masikio kipindi cha kampeni au wataamua kumsamehe!
 
Baada ya uchaguzi wa 2025 kuendelea kama hali ikiendelea hivi ilivyo, akichaguliwa mwingine mbali na sa100, tutakuwa na Rais wa 7, awamu ya 6.
 
Mbona Zanzibar tunasema ni awamu ya nane hamjawahi kuhoji ?

Umesema awamu moja ni vipindi 2 vya miaka mitano mitano, Kwa hiyo ndani ya awamu ya kwanza Kuna awamu ngapi?

Nikusahihishe, ilani ya uchaguzi ni Ahadi tu za chama Kwa wananchi na sio njia ya kubainisha hii ni awamu ya ngapi na ilani inaandikwa kufuata katiba ndio maana inaitwa ilani ya uchaguzi mkuu.

Awamu inaanza kutambulika pale tu anapopatikana Rais mpya bila kujalisha muda aliokaa au vipindi alivyokaa. Kama ikitokea 2025 akapatikana Rais mpya basi itakuwa ni awamu ya Saba.

CCM haijawahi kuandika ilani ya miaka 10 toka mfumo wa vyama uanze, hiyo ilani ya 2015-2025 umewahi kuiona wapi?
 
Wadau nawasabahi

CCM imekuwa ikiviita Vipindi vya Urais kuwa ni AWAMU.

Kwa kuanzia RAIS NYERERE alikuwa Rais Wa kwanza KUTAWALA ikaitwa AWAMU ya 1na ilikoma Mwaka 1985 .
AWAMU ya Pili ilianza 1985 mpaka 1995 Rais aķiwa MZEE MWINYI na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya TATU ilianza 1995 mpaka 2005 Rais akiwa MZEE MKAPA na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya 4 ilianza 2005 mpaka 2015 Rais akiwa KIKWETE na alikuwa na ILANI yake.
AWAMU ya 5 ilianza 2015 mpaka 2025 Rais akiwa MAGUFULI na alikuwa na ILANI take lakini alifariki na Makamu wake RAIS SAMIA akashika USUKANI mpaka 2025.AWAMU huanza kwa kufanya UCHAGUZI na CCM imekuwa na

UTARATIBU wa RAIS kuhudumu VIPINDI 2 yaani MIAKA 10 na kila AWAMU ina ILANI yake ya UCHAGUZI.

Naomba kuuliza
Kwanini Utawala uliopo MADARAKANI unaitwa AWAMU ya 6 wakati HAKUJAFANYIKA UCHAGUZI?

Naomba kujuzwa Utawala uliopo Madarakani unatumia ILANI gani? Na kama inatumia ILANI ya 2020/2025 mbona hiyo ni ILANI ya AWAMU ya 5 na yenyewe inasema AWAMU ya 6?

Je, ni sahihi kusema UTAWALA uliopo ni MUENDELEZO wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na ILANI ya AWAMU ya 5?

Siasa za uganga uganga na kuamini katika kusafiria nyota. Ila pia, a blessing in disguise, maana kweli hii ni awamu ya sita
 
Mbona Zanzibar tunasema ni awamu ya nane hamjawahi kuhoji ?

Umesema awamu moja ni vipindi 2 vya miaka mitano mitano, Kwa hiyo ndani ya awamu ya kwanza Kuna awamu ngapi?

Nikusahihishe, ilani ya uchaguzi ni Ahadi tu za chama Kwa wananchi na sio njia ya kubainisha hii ni awamu ya ngapi na ilani inaandikwa kufuata katiba ndio maana inaitwa ilani ya uchaguzi mkuu.

Awamu inaanza kutambulika pale tu anapopatikana Rais mpya bila kujalisha muda aliokaa au vipindi alivyokaa. Kama ikitokea 2025 akapatikana Rais mpya basi itakuwa ni awamu ya Saba.

CCM haijawahi kuandika ilani ya miaka 10 toka mfumo wa vyama uanze, hiyo ilani ya 2015-2025 umewahi kuiona wapi?
Tumia akili kidogo Awamu ya 5 ni 2015-2020 awamu ya 5 ni 2020-2015
Awamu ya 5 kiccm ni 2015/2020/2025
 
Sijajua hata umeandika Nini hapa ila awamu inaanza kuhesabika pindi tu kunapokuwa na Rais mpya. Kama Rais ni yuleyule ila yupo kipindi cha pili utasemaje ni awamu tofauti?

Katiba inatambua awamu moja ni vipindi visivyozidi viwili vya miaka mitano mitano ,elewa hapo vipindi visivyozidi viwili
 
Tumeishatoka huko... habari ya Mjini ni je Bandari inaachiwa kwa DPWORLD kwa muda usiojulikana ama la!
 
Awamu ni kipindi cha"mtawala"
●Awamu ya kwanza-Nyerere(miaka 24)
●Awamu ya pili-Mwinyi(miaka 10)
●Awamu ya tatu-Mkapa(miaka 10)
●Awamu ya nne-Kikwete(miaka 10)
● Awamu ya tano-Magufuli(miaka 7)
●Awamu ya sita- Samia(.......)
 
Sijajua hata umeandika Nini hapa ila awamu inaanza kuhesabika pindi tu kunapokuwa na Rais mpya. Kama Rais ni yuleyule ila yupo kipindi cha pili utasemaje ni awamu tofauti?

Katiba inatambua awamu moja ni vipindi visivyozidi viwili vya miaka mitano mitano ,elewa hapo vipindi visivyozidi viwili
Uelewa wako ni mdogo sana utanisumbua kukuelimisha ngoja nikuache
 
Ni Rais wa SITA, Awamu ya TANO!

Na mwisho wa wa Awamu ya TANO, ni muhimu FOMU zikatolewa za Urais Kwa wanachama wote sababu utakuwa ni msimu mpya,

Ilani mpya 2025-2035.

Hivyo ni muhimu wa mpito akapumzika tuchague mpya, na makaratasi yake.
 
Wadau nawasabahi

CCM imekuwa ikiviita Vipindi vya Urais kuwa ni AWAMU.

Kwa kuanzia RAIS NYERERE alikuwa Rais Wa kwanza KUTAWALA ikaitwa AWAMU ya 1na ilikoma Mwaka 1985 .
AWAMU ya Pili ilianza 1985 mpaka 1995 Rais aķiwa MZEE MWINYI na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya TATU ilianza 1995 mpaka 2005 Rais akiwa MZEE MKAPA na alikuwa na ILANI yake
AWAMU ya 4 ilianza 2005 mpaka 2015 Rais akiwa KIKWETE na alikuwa na ILANI yake.
AWAMU ya 5 ilianza 2015 mpaka 2025 Rais akiwa MAGUFULI na alikuwa na ILANI take lakini alifariki na Makamu wake RAIS SAMIA akashika USUKANI mpaka 2025.AWAMU huanza kwa kufanya UCHAGUZI na CCM imekuwa na

UTARATIBU wa RAIS kuhudumu VIPINDI 2 yaani MIAKA 10 na kila AWAMU ina ILANI yake ya UCHAGUZI.

Naomba kuuliza
Kwanini Utawala uliopo MADARAKANI unaitwa AWAMU ya 6 wakati HAKUJAFANYIKA UCHAGUZI?

Naomba kujuzwa Utawala uliopo Madarakani unatumia ILANI gani? Na kama inatumia ILANI ya 2020/2025 mbona hiyo ni ILANI ya AWAMU ya 5 na yenyewe inasema AWAMU ya 6?

Je, ni sahihi kusema UTAWALA uliopo ni MUENDELEZO wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na ILANI ya AWAMU ya 5?
Kila Rais ni awamu, siyo kila uchaguzi.
 
Kama awamu Moja ni miaka kumi basi Nyerere aliongoza awamu mbili na nusu

Tuludi kiuhalisia,watu mnakomaa na awamu inafaida gani kwa wananchi

Nilishangaa mada kama hii ilipewa headline sana enzi za kina polepole inafaida gani kwenye nchi?

Wananchi wanakula na kunywa awamu?

Iwe awamu ya 100 ,100000000 mwananchi inamsaidia Nini?

Nchi inamatatizo mengi sio neno awamu wakuu,
 
Awamu ya uongozi wa nchi inaendana na kiongozi aliye madarakani na siyo ilani.
Maelezo kuwa kuna ilani ni nadharia tu, kinachofuatwa ni mawazo (fikra) za aliye madarakani kiuhalisia, hayo mengine ya ilani yaweza kuwa hadithi tu. Bado vyama na taasisi nyingine za kisiasa kitaifa hazina watu wenye fikra huru za kuisimamia serikali.
Tunarudi pale pale, wananchi wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri hivyo kuwa waoga au watumwa wa fikra.
Linganisha tu fikra za Magufuli na Samia. Chama kile kile, viongozi, mawaziri (sera) wale wale, vyombo vya dola vile vile vikiongozwa na wale wale. Kwa ujumla ni kama computer, garbage in garbage out.
 
Ukweli mchungu kuwa mama samia ni raisi kivuli au nusu na kuwa hakuwahi chaguliwa umekuwa ukitafutiwa dawa kila siku
 
Tumeishatoka huko... habari ya Mjini ni je Bandari inaachiwa kwa DPWORLD kwa muda usiojulikana ama la!
Bandari zetu haziendi kokote. Tunasubiri maandamano ya Amani.

Ndo madhara ya KUONGOZWA na kiongozi tusomchagua, anagawa bandari zetu milele anavyojiamulia.
 
Back
Top Bottom