Mzee Lowassa angeifikisha Tanzania mbali sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Morng

Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga.

Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm

Watu wanamuona kama Biteko kuwa Rais mzuri ajae ila mimi silioni ilo kwa Biteko kabisa kwaza tukague jimboni kwake kafanya yapi ya ajabu?

Ukweli tuseme hakuna tumaini jipya kwasasa
 
Hata aje Rais toka nje ya hii dunia, ndani ya mfumo wa utawala wa CCM hawez toboa!!
 
Nnapokwambia mfumo namaanisha uzalendo unapaswa uanzie kwa watawala ili kuonyesha mfano kwa walio chini na raia wa kawaida!!
Ndio ila sio swala la kuilaumu ccm bali ni swala la kumlaumu mtu kama mtu na sio chama
 
Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm
Maono ya utapeli na ujambazi alikuwa nayo. Unaweza kuwa sahihi kuwa katika hilo hakuna wa kiwango chake.
 
Morng

Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga.

Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm

Watu wanamuona kama Biteko kuwa Rais mzuri ajae ila mimi silioni ilo kwa Biteko kabisa kwaza tukague jimboni kwake kafanya yapi ya ajabu?

Ukweli tuseme hakuna tumaini jipya kwasasa
Usiseme hivyo kuna watanzania wengi sn wazuri tatizo ni mfumo ovu tulio nao
 
Morng

Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga.

Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm

Watu wanamuona kama Biteko kuwa Rais mzuri ajae ila mimi silioni ilo kwa Biteko kabisa kwaza tukague jimboni kwake kafanya yapi ya ajabu?

Ukweli tuseme hakuna tumaini jipya kwasasa
Lowasa wa Escrow na Richmond au Lowasa gani?
 
Unaongelea Lowasa huyu huyu aliyeitwa mhuni na mwl Nyerere ama ni mwingine?
mwalimu alikuwa hawataki watu wenye akili, alikuwa akiwaogopa! yule mzee (Nyerere) naye alifanyika kikwazo kikubwa sana cha maendeleo yetu kama taifa.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Kila nikikumbuka alisema atatuletea mvua za kutengeneza kutoka nchi gani sijui ,huwa nachoka sana
 
Lowassa huyu huyu ?Angefanya nini cha ziada kumzidi Magu ambaye alijitahidi kulinda raslimali zetu kwa zote na mapungufu yake ni ukatili wake na ukurupukaji wake katika kuvunja mikataba ya uwekezaji bila kufuata procedures zinazotakiwa umelitia taifa kwenye mtanziko wa kulipishwa mabilioni baada ya nchi yetu kushindwa kesi kwenye arbitration courts
 
Unamzungumzia Lowassa yupi mkuu,aliyekuwa na undugu na richmonduli au anayekula kamishen ya toyt worldwide?Hebu tutue
 
Back
Top Bottom