Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Viongozi wetu waache double standards,majuzi hapa Kigwangala alikosa kazi ya kufanya akafunga safari kwenda kumvamia Dr.Mwaka eti kwa kisa tu kwamba anajiita dokta pasipo kuwa na taaluma ya udaktari,sasa mimi nahoji,INAKUWAJE JESHI WAMEMWACHA MWIGULU AJIITE FIELD MARSHALL PASIPO KUMKAMATA,SI NI KOSA SASA WATU KUJIPACHIKA VYEO WASIVOKUWA NAVYO?Akiachwa atanogewa na si ajabu kuna siku atajipachika jina jingine na kujiita AMIRI JESHI MKUU,natafakari tu!