Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata
Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa...
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya...
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania...
Ndugu yetu, Daktari wa Filosofia uliyetumainiwa na wenazako hata ukasimamia Chama cha Magwiji wasomi UDSM (UDASA), yaani ndani ya viatu vya kina Prof Chachage, Leo hii bila hiana, unakacha...
Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate...
Vyama vya Kibepari popote duniani huwa na watu wenye ukwasi wa fedha na nguvu ya ushawishi.
CHADEMA wanajinasibu kama chama cha Kibepari lakini ukiwaangalia unakataa kabisa.
Viongozi na...
Siasa ni mfumo wa kushiriki na kuwakilisha fikra na mawazo huru kutokana itikadi tofauti za kiimani katika kuwakilisha hoja tofauti za kutafuta maendeleo kwa ustawi na maisha bora kwa wa jamii...
Rais Magufuli amesema "Mzee Mkapa aliujenga uwanja mkubwa wa michezo. Wengi wanataka uitwe Mkapa Stadium. Alikuwa hapendi vitu viitwe kwa jina lake, lakini hawezi kuniadhibu amelala. Natamka rasmi...
Sioni tija ya nafasi ya Umakamu wa Rais hata anapotishia kujiuzulu kisa maji yasipofika Wilaya ya Mwanga na kwingineko.
Je, mdau wewe unaona tija ya kiti cha Makamu wa Rais?
Nukuu ya Makamu wa...
Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo:
"Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara...
1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles)...
BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya...
Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa...
Hatimae tumemsikia na kumshuhudia aliekuwa Chief of Defense Forces kupitia media na mtu ambae inaonekana ndie alikuwa kiongozi wa nchi kwa muda wa siku zote Marehemu JPM akiwa anapigania uhai wake...
Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye...
Uzinduzi wa Taasisi hiyo ya kusaidia wenye magonjwa ya figo inazinduliwa kwenye ukumbi wa Mlimani City , DSM , ambako watu wengi maarufu na wenye Ushawishi wamealikwa.
Vigogo wa Chadema ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Naomba nitumie jukwaa hili kwa siku ya leo kuwapa ukweli CHADEMA japo ni ukweli mchungu unaouma lakini ndio ukweli wenyewe na hauwezi kubadilika wala kubadilishwa. Napenda...
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi...
Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo...
Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea.
Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri...