Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,351
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
 
Biashara inaangalia faida zaidi wao wanatoa huduma sababu kodi ulishalipa nakupa mfano .. magari ya mwendokasi yamekuwa kama dala dala mpaka lijae hawaendi na muda ila wenzetu muda ukifika hata abiria mmoja anaondoka na gari
SOEs za China hazi operate inside China pekee mpaka overseas zinapiga mzigo. Yes inside the country zimejikita kutoa huduma zaidi lakini overseas zipo kifaida zaidi.

Pia kuna SOEs zisizo husika na kutoa huduma bali biashara.
 
1. Sera zetu kuegemea upande wa Ubepari ijapokuwa kwa mujibu wa Katiba yetu Taifa letu linapaswa kujengwa kwenye misingi ya ujamaa na kujitegemea.

2. Commitment kwa Taifa letu toka ngazi za juu za uongozi mpaka chini kwa mwananchi ni finyu sana.

3. uzalendo
4. Uwajibikaji
 
Swali mezani:
Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza?

In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common in China's strategic sectors, such as energy, telecommunications, and banking.

Over 150,000 SOEs dominate China's economy, 98 of these SOEs are owned by the central government. A government entity called the “State-owned Assets Supervision and Administration Commission” is in charge of these companies. Other SOEs are managed by entities similar to the SASAC at the provincial and local levels of government.
Wanafik wengi tuanze na economy hits MEN ambawo wengi tunawapigia makofi usenge mtupu
 
Viongozi wetu wanajua hawawezi kuendesha biashara kutokana na ubinafsi na tamaa ,yaani hizo faida watakula kwa kufanya wizi wa kutisha.

Kutengeneza faida ni rahisi ila watazipiga zote watu wachache.

China jaribu kuleta wizi hizo pesa utaenda kuzitumia kuzimu.
 
1. Sera zetu kuegemea upande wa Ubepari ijapokuwa kwa mujibu wa Katiba yetu Taifa letu linapaswa kujengwa kwenye misingi ya ujamaa na kujitegemea.

2. Commitment kwa Taifa letu toka ngazi za juu za uongozi mpaka chini kwa mwananchi ni finyu sana.

3. uzalendo
4. Uwajibikaji
Tufanyeje sasa ili tufike huko walipo wengine mfano kama huo uchina ?
 
Viongozi wetu wanajua hawawezi kuendesha biashara kutokana na ubinafsi na tamaa ,yaani hizo faida watakula kwa kufanya wizi wa kutisha.

Kutengeneza faida ni rahisi ila watazipiga zote watu wachache.

China jaribu kuleta wizi hizo pesa utaenda kuzitumia kuzimu.
Mpaka accounts zote zinafilisika
 
Back
Top Bottom