MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,735
Williamu Ruto kwa sasa alishafunga kazi ya kuunda Serikali na kilicho bakia ni wateile wanachapa kazi sasa ya kuwaletea Wakenya Maendeleo. Kumbuka Ruto kaapishwa mwaka 2022 Sept, kwa sasa ndio amekamilisha Mwaka Ikulu na kaisha funga teusi, huwezi tena sikia teuzi za Rais Ruto kwa Kenya.
Rais Samia huu ni mwaka wa 3 kazini ila unaweza zania ana siku 8 tangu aapishwe yaani Balaza la mawazili leyenyewe ni teua tengua teua tengua.Daily nchi imjeaaa teuzi tupu.
Habari postive Tanzania ni za teuzi tupu wala sio hata habari za Uchumi wala kuimarika kwa Shiling ya Tanzania hapana. Ukiamka lazima ukutane na habari za kuteua na kuhamisha wizara.
Mama ana mwaka wa 3 anafanyia testing Serikali yake bado yaani hajamaliza kuunda Serikali huu ni mwaka wa tatu sasa yuko Ikulu.
Kama ni mfuatiliaji wa Habari za EAC utagundua kwa Tanzania habari zinazo tawala tangu Samia aingie Mdarakani.ni habari za kutea tu.
Usishange ndani ya wiki 3 zijazo au moja teuzi za wakuu wa wilaya na wakaurugenzi tena kwa.mara nyingine na na kabla ya huu mwaka kuisha wale mawaziri alio wateua wiki jana atawabadilishia vituoa vyao vya kazi.
Ndani ya mwaka mmoja Waziri anazungushwa kwenye wizara 3 tofauti.