Kwanini shutuma zote za wizi na Ubadhirifu awamu ya sita hazijibiwi?

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Wakuu Salam,

Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.

Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.

Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili wamuharibie Bi Mkubwa.

Wapo waliojitolea kuzijibu kwa kukamata wanaosema, lakini tayar damage ilishafanyika.

Kuna Kipindi Rais mstaafu Kikwete ilibidi awatoe Kafara Mawaziri wake wote na waziri mkuu wake Lowassa 2008 ili kujaribu kujisafisha na uchaguzi wa 2010.

Sasaivi shutuma zote zinapigwa pin, na rumors zinapepea zaidi kuliko ukweli.

Shutuma za Rushwa na ubadhirifu ni mbaya sana na zinaangusha serikali.

Kuna zilizoibuliwa na Mbunge Tabasam bungeni kwa tenda za EWURA, spika Tulia akalizima kimya kimya.

Kuna za DP world, kimyaa.

Kuna za Malipo ya Bil 21, na mtiririko wa Ankara za malipo kwa watu wengi wengi.. kimyaa.

Kuna hili la mkwamo wa upatikanaji umeme, kimyaa.

Kuna nini kwenye hii kamata kamata na kuzima kimya kimya mambo haya.

Kwanini shutuma za ufisadi awamu ya Sita hazijibiw?
 
Yeye aliyekaria usukani mpigaji kiwango cha SGR
 
Kwahiyo una validate?
Wanakamatwa wale wote wanaosema 'wametuona NYANI' Ila hao wanaokula na wakubwa high table hawafanywi chochote hata waibe matrillion utasikia wamesimamishwa kupisha uchunguzi na wanaosimamishwa ni wale wadogo wadogo sijui Mtendaji daraja la III huko Halmashauri kaiba million 1.5 za ujenzi wa shule ya Kijiji kasimamishwa kazi au anapigwa faini na kukwatwa mshahara miaka mitatu Ila wale kule juu mapapa wenyewe hawaguswi
 
Wakuu Salam,

Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.

Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.

Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili wamuharibie Bi Mkubwa.

Wapo waliojitolea kuzijibu kwa kukamata wanaosema, lakini tayar damage ilishafanyika.

Kuna Kipindi Rais mstaafu Kikwete ilibidi awatoe Kafara Mawaziri wake wote na waziri mkuu wake Lowassa 2008 ili kujaribu kujisafisha na uchaguzi wa 2010.

Sasaivi shutuma zote zinapigwa pin, na rumors zinapepea zaidi kuliko ukweli.

Shutuma za Rushwa na ubadhirifu ni mbaya sana na zinaangusha serikali.

Kuna zilizoibuliwa na Mbunge Tabasam bungeni kwa tenda za EWURA, spika Tulia akalizima kimya kimya.

Kuna za DP world, kimyaa.

Kuna za Malipo ya Bil 21, na mtiririko wa Ankara za malipo kwa watu wengi wengi.. kimyaa.

Kuna hili la mkwamo wa upatikanaji umeme, kimyaa.

Kuna nini kwenye hii kamata kamata na kuzima kimya kimya mambo haya.

Kwanini shutuma za ufisadi awamu ya Sita hazijibiw?
Bora hata Polepole alishusha hesabu za Alogarith kuhusu wizi wa 1.5T za Prof Assad
 
Uliwaambia wale kwa urefu wa kamba na pia wale kwa kujipimia unataka wajibu hoja za nini? Kiongozi wa mpito amefeli vibaya mno
 
Wakuu Salam,

Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.

Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.

Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili wamuharibie Bi Mkubwa.

Wapo waliojitolea kuzijibu kwa kukamata wanaosema, lakini tayar damage ilishafanyika.

Kuna Kipindi Rais mstaafu Kikwete ilibidi awatoe Kafara Mawaziri wake wote na waziri mkuu wake Lowassa 2008 ili kujaribu kujisafisha na uchaguzi wa 2010.

Sasaivi shutuma zote zinapigwa pin, na rumors zinapepea zaidi kuliko ukweli.

Shutuma za Rushwa na ubadhirifu ni mbaya sana na zinaangusha serikali.

Kuna zilizoibuliwa na Mbunge Tabasam bungeni kwa tenda za EWURA, spika Tulia akalizima kimya kimya.

Kuna za DP world, kimyaa.

Kuna za Malipo ya Bil 21, na mtiririko wa Ankara za malipo kwa watu wengi wengi.. kimyaa.

Kuna hili la mkwamo wa upatikanaji umeme, kimyaa.

Kuna nini kwenye hii kamata kamata na kuzima kimya kimya mambo haya.

Kwanini shutuma za ufisadi awamu ya Sita hazijibiw?
Na zile kashfa alizoibua CAG pia hazina majibu hadi leo.
 
Hata suala la bandari wamekula jiwe kimyaa!!
 
Ni mtandao wa utafunaji
 
Walipaswa wachukue hatua sio tu kujibu shutuma, unfortunately huo sio utaratib wa CCM kuwachukulia hatua stahik wabadhirifu, ufisadi, uhujum na wizi!! Utaratib wao ni kulindana na kum shift mhalifu kwenda eneo lingine la kaz!!
 
Back
Top Bottom