17 September 2023
UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK
DR. PHILIP MPANGO MKUTANO WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA UNGA-78 SEPT.2023
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuanza tarehe 18 September 2023 chini ya rais wa Baraza hilo Balozi Dennis Francis kutoka Trinidad na Tobago.
Tanzania itashiriki baraza hilo kuu la 78 na itashiriki kutoa mada - “Mobilizing finance and investments and the means of implementation for SDG achievement”
Wakuu wa nchi na serikali watahudhuria kikao hicho cha Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani.
Baraza Kuu la UN huashiria kuanza kwa vikao vya Ngazi ya Juu vya mwezi Septemba vikileta wakuu wa nchi na serikali.
Nchi nyingine ya Afrika ya mashariki ya Kenya, mheshimiwa rais wake Mh. William Samoei Ruto atakuwa moderator katika mada - Leaders’ Dialogue 3 “Game-changers: Applying science, technology, innovation and data for transformative action"
18 September 2023
New York Umoja wa Mataifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Malengo ya Maendeleo Endelevu SDG unaofanyika katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani.(kutoka kulia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Matifa New York Balozi Hussein Katanga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk N Mbarouk)
UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK
DR. PHILIP MPANGO MKUTANO WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA UNGA-78 SEPT.2023
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuanza tarehe 18 September 2023 chini ya rais wa Baraza hilo Balozi Dennis Francis kutoka Trinidad na Tobago.
Tanzania itashiriki baraza hilo kuu la 78 na itashiriki kutoa mada - “Mobilizing finance and investments and the means of implementation for SDG achievement”
Wakuu wa nchi na serikali watahudhuria kikao hicho cha Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani.
Baraza Kuu la UN huashiria kuanza kwa vikao vya Ngazi ya Juu vya mwezi Septemba vikileta wakuu wa nchi na serikali.
Nchi nyingine ya Afrika ya mashariki ya Kenya, mheshimiwa rais wake Mh. William Samoei Ruto atakuwa moderator katika mada - Leaders’ Dialogue 3 “Game-changers: Applying science, technology, innovation and data for transformative action"
Source : Programme SDG Summit | United Nations18 September 2023
New York Umoja wa Mataifa