Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya...
0 Reactions
4 Replies
524 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Aliekuwa Katibu wa Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana TCD Kitaifa, Elisante Ngoma ameteuliwa na Kamati Kuu ya Chama hicho kuwa Mkuu wa Idara ya Uenezi...
0 Reactions
4 Replies
719 Views
Tumezoea kusikia mema ya Jaji Warioba kila kukicha. Amesifiwa na CcM , upinzani na wanaharakati. Mimi nimezaliwa mwaka 1963 na kwa mantiki hiyo nimeshuhudia akiwa kiongozi na akiwa nje ya...
3 Reactions
5 Replies
692 Views
Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao: 1. Harrison Mwakyembe 2. Mark Mwandosya 3. Job Ndugai. Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa...
2 Reactions
11 Replies
715 Views
KASAKA ATOA MKONO WA EID JIMBONI LUPA Leo tarehe 10.04.2024 Mbunge wa Jimbo la Lupa (Chunya) Mhe: Masache Njelu Kasaka Ametoa Salam za Eid Al fitri kwa Waumini wa Kiislam Wilaya ya Chunya katika...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Nimeona madhara yaliyoletwa na maji kwenye eneo la Rufiji. Nafahamu wapo watu wanapiga propaganda kuhusu bwawa la umeme kuwa ni chanzo cha mafuriko haya. Ndugu zangu tumetoka kwenye mgawo wa...
2 Reactions
9 Replies
878 Views
Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi. Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa...
1 Reactions
11 Replies
646 Views
Leo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka. Sijasomea uchumi kokote Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu Sarafu yetu inaporomoka. Hatuuzi nje. Hatupati dolla nyingi. Matokeo yake dolla...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili imeambatanishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi...
16 Reactions
132 Replies
9K Views
Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mshituko mkubwa nimeupata baada ya kugundua kuwa watanzania wengi wamezitunza video mbalimbali za hayati Magufuli kama reference na kipimo cha kupima utendaji wa serikali iliyopo madarakani na...
44 Reactions
101 Replies
8K Views
Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere. Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Kelele ni nyingi na shahuku ni kubwa lakini maneno yangu ni machache; [emoji419]Makonda hatakuwa na wakati mzuri wakati huu ambapo kundi la Msoga lina nguvu ndani ya CCM na Serikali. Kundi la...
5 Reactions
49 Replies
7K Views
Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi na uchukuzi ametembelea maghorofa ya Magomeni kota na kukuta ujenzi wake umekamilika kwa 100% na muda wowote kuanzia sasa wananchi watakabidhiwa makazi yao mapya...
16 Reactions
252 Replies
23K Views
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo...
20 Reactions
71 Replies
8K Views
Kama malalamiko yaliyotolewa bungeni na mbunge wa mafinga bwana Chumi kwamba Tanesco wameshaanza mchakato wa kuanza kuagiza tena nguzo za umeme nje nchi ni ya kweli basi Tanzania uzalendo ni kitu...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali...
21 Reactions
151 Replies
19K Views
Mara baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kujiunga na kuinunua CHADEMA ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati...
12 Reactions
64 Replies
9K Views
Mchambuzi kwenye gazeti hilo ambaye ni mfanyakazi aliyepita wa shirika la afya duniani (WHO) amesema kitendo cha Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu hasa...
74 Reactions
246 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…