Profesa Lipumba: Viatu vya Hayati Magufuli ni special, kila mtu aliufyata

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza.

Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema kiatu cha marehemu Magufuli ni special na hamna wa kuvivaa kwani alikuwa kidume kwelikweli na kila mtu aliufyata na kuogopa kabisa.

Lipumba amesema kwa sababu ya hofu hiyo kuna baadhi ya maprofesa wazima walifikia hatua ya kusema wametolewa jalalani.

what is special? UUAJI wa Magufuli? Rubbish!
Shangaa wewe.🤷🤷

IMG_20211028_135238_003.jpg
 
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza...
kwa hiyo awamu ya 5 watu
"walifyata mikia yao"

ila awamu hii ya 6 watu
"wamefyatua mikia yao"!!!

sasa awamu hii ya 6 tukubali kukabiliana na utawala wa Sheria.
sheria ni msumeno, hauchagui wa kumkata.
 
Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo ya hayati Magufuli kwani hatayaweza.

Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema kiatu cha marehemu Magufuli ni special na hamna wa kuvivaa kwani alikuwa kidume kwelikweli na kila mtu aliufyata na kuogopa kabisa.

Lipumba amesema kwa sababu ya hofu hiyo kuna baadhi ya maprofesa wazima walifikia hatua ya kusema wametolewa jalalani.

Waliufyata kwa sababu ukinyanyua mdomo, wasiojulikana hao hodi nyumbani.
 
Back
Top Bottom