Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na...
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake...
Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3.
Akazidi kuelezea...
Unaweza kuitafakari Chama kikuu Cha Upinzani kinafanya Uchaguzi wa Ndani kitaifa lakini hadi sasa nafasi zote Wanachama wametia Nia na wanafanya kampeni Kasoro nafasi ya Mwenyekiti wa taifa tu...
Mwenyekiti wangu wa chama Rais Mama Samia Suluhu Hassan, najua ilivyokuwa kwenye wakati mgumu kumpata mrithi wa mfitini wako Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa CCM.
Nakupendekezea kijana Amos...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo ni moto, mambo ni Matamu kwelikweli. Tayari kikao cha Kamati kuu ya CCM Taifa chini ya Rais Samia ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM Taifa kimeshaanza na kuendelea...
Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi...
kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wabunge kutoka Zanzibar
Omar Ali Omar (ACT) - WETE
Khalifa Mohammed Issa (ACT) - MITABWE
Maryam Omar Said(CUF) - PANDANI
Mohamed Said Issa (ACT) - KONDE
Seif Salim Seif (CUF) - KUSINI PEMBA...
Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi:
-maisha yalikuwa rahisi
-hakukuwa na mfumko wa bei
-dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana
-watu wengi walijenga
-ajira zilikuwepo za kutosha...
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona...
Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa...
Kwa kawaida tu ukimuuliza Mtanzania wa kawaida bunge lililopita limeleta wazo gani lolote tofauti ambalo unalikumbuka? Jibu ni kwamba hakuna lolote wanalo likimbuka kwasababu wamejaa wabunge wengi...
Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo.
Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya...
Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA.
Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje...
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 😀😀
Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini.
Jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.