Mbunge Kasaka Atoa Mkono wa Eid Jimboni Lupa

Mbunge Kasaka Atoa Mkono wa Eid Jimboni Lupa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

KASAKA ATOA MKONO WA EID JIMBONI LUPA​

Leo tarehe 10.04.2024
Mbunge wa Jimbo la Lupa (Chunya) Mhe: Masache Njelu Kasaka Ametoa Salam za Eid Al fitri kwa Waumini wa Kiislam Wilaya ya Chunya katika msikiti wa Chunya mjini pamoja na Lupa.

Mkono wa Eid wa Mhe. Kasaka umeambatana na zawadi ya Mchele pamoja na Mboga Nyama kwa waumini wa Kiislam.

Akitoa Salam hizo Katibu wa Mbunge jimbo la Lupa Comrade Zakaria Japhet akiwa ameambatana na Katibu wa CCCM Wilaya ya Chunya Comrade Jokely Charles, amesema mheshimiwa Mbunge anawatakia Sherehe njema na kuwasihi Wana Chunya na Watanzania kusherehekea kwa amani na utulivu.

Akitoa Salam Za Shukran Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Sheikh Nurdin Jicha, amempongeza Mhe. Mbunge kwa kuwakumbuka waumini wa Kiislam kwa kutoa sadaka yake, Pia amewasihi waislam wote kuendelea kumuombea Mbunge Kasaka na serikali ya Awamu ya sita chini ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.

SamianaMasache
Chunyakaziinaendelea
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-04-10 at 11.28.57.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-10 at 11.28.57.jpeg
    145.7 KB · Views: 22
  • WhatsApp Image 2024-04-10 at 11.28.57(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-10 at 11.28.57(1).jpeg
    97.4 KB · Views: 25
  • WhatsApp Image 2024-04-10 at 11.28.58.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-10 at 11.28.58.jpeg
    85.2 KB · Views: 25
Mambo wayapendayo wananchi wanyonge kutoka kwa viongozi wao..
Hapo wamesahau kila kitu ugumu wa maisha, bei ya (mafuta,sukari), katiba mpya na tume huru ya uchaguzi..
Kwenye salamu lazima kiitikio kunamshukuru sana mama sa100 lazima kichagizwe kutwa mara3..
God have mercy on us.
 
Back
Top Bottom