Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo:
i) Amemteua Mhe. Jaji Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume...
Matamshi ya chuki, propaganda za kisiasa na uongo si matatizo mapya mtandaoni, nyakati za uchaguzi kama hizi huzidisha zaidi matatizo hayo. Matumizi ya roboti, au akaunti bandia (Feki) za mitandao...
Mkoa wa Iringa ambao ni Ngome kuu ya CCM na mkoa wenye UFUKARA ULIOPINDUKIA huku ukijikwamua kwenye ukinawara wa UKIMWI, una wabunge wengi lakini jimbo la Mufindi liligawanywa na kuwa na majimbo...
Kauli ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Mh Samia Suluhu Hassan imesadifu hivyo.
Ukiichambua Uhalisia wake neno "kukichemsha" halikumaanisha kuchangamsha bali kutifuana. Makonda alileta mtifuano ndani...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 4, leo Aprili 5, 2024.
https://www.youtube.com/live/4Cl2g8y3uSc?si=OUgWAopJ0x_vUcYh
Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea...
Kwa mdadisi yeyote ziara ya anayejihita mmiliki wa Dowans Brig.Gen.Al Adawi inazua maswali mengi kuliko majibu; kwanza kwanini hakutaka kupigwa picha?
Pili katika hali ya kawaida R.A kama...
Nilishangaa kusikia Al Adawi mmiliki wa DOWANS alikuja na kuondoka salama nchini.
Kwanza waandishi wa habari waliokwenda kwenye press conference hawakuwa na references za kumbana, yaani...
Brigedia Jenerali mstaafu, Suleman Mohamed Yahya Al Adawi wa Saud Arabia amejitokeza hadharani na kudai kuwa mmiliki wa kampuni ya DOWANS (T) LTD.
Al Adawi ambaye alifanya mkutano na waandishi wa...
Wajameni, mimi nashangaa jinsi hawa wahariri wa magazeti yetu jinsi walivyonyoroshwa na huyu mwekezaji (aka Ali Hadaiwi), nijuavyo mimi waandishi wa habari ni watundu sana na huweza kumpiga picha...
Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika...
CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MIONDOKO MINGI KULINGANA NA INAVYOTAKIWA KUWA, CHAMA KIKONGWE NA KITADUMU
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Kuna wakati nabaki kucheka baada ya kusikiwa watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Paul Makonda ni kama Maji tu usipoyanywa utayaoga tuuu,.umchukie au unune bado utaona akikwea tu na kuchanja mbuga katika mioyo ya watu.hata ukiziba masikio yako...
Inaonekana kuwa nafasi ya mwenezi ndani ya lumumba ni kaa la moto.
DW wametoa kibonzo kuelezea mtazamo wao juu ya nafasi hiyo ndani ya chama hicho kikongwe.
Je, ni kweli hiyo ni nafasi nyeti...
Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba ile Taasisi bora ya vijana barani Africa na ambayo ni Mtambo wa kuzalisha viongozi nchini Tanzania (BAVICHA) itaongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi ndogo...
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana...
Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki...
Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuzienzi na kuziendeleza fikra na falsafa za kimaendeleo na kizalendo za Marehemu Sheikh Abeid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.