Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4
NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA...
Three The Hardway
Lowasa - Kamanda wa UVCCM
Dr Nchimbi - Mwenyekiti UVCCM
Makala - Katibu Mkuu UVCCM
Walitisha Sana na UVCCM ilikuwa Imara kuliko wakati wowote Baada ya TYL
CCM itatuletea...
Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi.
Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi...
Baada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu, je ndo wakati wa kumleta ndugu Ally Hapi kwenye ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa Makonda? Let's wait and see.
Sijawahi kudhani kuwa watanzania wengi ( sio wote ) ni wajinga wa ngazi hii tunayoiona. Ndio maana ni ngumu kutofautisha mtanzania wa kidato cha sita na yule wa chuo kikuu. Katika IQ zao, kuwaza...
Nimetafakari na kubaini kuna aina nne za wabunge na kazi zao ( nipo tayari kukosolewa)
1. Wabunge wa Majimbo
Hawa hupigiwa kura na wananchi wa jimbo. Hupewa ridhaa na wananchi wakawakilishe...
Ujio wa Makala pale Uenezi unaibakiza CCM Kuwa Chama Cha wakulima
Tunasubiri safu ya Chadema Ili tujiridhishe kama bado Wana Sifa ya Chama Cha Wasomi na Wajanja like akina Bob Mazishi
Kwako...
Hili ni ombi langu kwenu tume, kwamba uchaguzi ujao, punguzeni majimbo ya uchaguzi. Hatuwezi kuendelea kwa kuwa na majimbo kila mtaa. Ongezeko la majimbo limeifanya siasa kuwa ni agenda ya nchi...
Serikali ina mkakati wa kubana matumizi na ndiyo maana hawaongezi mishahara. Cha ajabu sana watu wamekuwa wakilalamika tu hata upinzani bila hata kutoa ushauri wafanyaje kubana matumizi. Mimi...
Ndugu wanajamvi karibuni kwenye Mada inayohusu Ugawaji wa Majimbo ya Uchaguzi Tanzania. Nikiwa mdau wa Siasa za Tanzania najua na hata wewe unajua kuwa mwaka 2020 ambao ni mwaka tutakaofanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC.
Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya...
Ni kweli CCM haina hazina ya wanachama bali wanavikundi vya kusifu na kuabudu ambavyo vimejaa vijana wengi Machawaa lakini hawana weredi wowote?
Je, ingekuwa na hazina isingekuwa inarudia kuteua...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri...
Huu mfumo kuwapa wabunge pensheni kila baada ya miaka mitano haufai. Ingefaa Wabunge walipwe pensheni baada ya mbunge kuachia ubunge na kutokuwa mbunge angalau miaka 10 mfululizo.
Ikitokea baada...
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI
Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde...
Mtoto wa Makamu wa kwanza na Waziri Mkuu mstaafu Mhe. John Malecela Bw. Samwel Malecela hivi sasa anafanya kampeni kubwa kupitia watendaji wa kata 19 za Mtera ili apate nafasi ya kugombea ubunge...
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha...
Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona?
Naomba picha nilione na mie
Pia soma > Mbunge wa Simanjiro...
Awamu ya tano ya Mh. Rais Magufuri watu wengi waliisema kwa udikteta na mambo mengine kama hayo lakini angalau kwenye teuzi alijaribu kuweka sura na majina mapya
Awamu hii ni kama watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.