Waandishi Vs Al Adawi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi Vs Al Adawi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anko Sam, Feb 23, 2011.

 1. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nilishangaa kusikia Al Adawi mmiliki wa DOWANS alikuja na kuondoka salama nchini.

  Kwanza waandishi wa habari waliokwenda kwenye press conference hawakuwa na references za kumbana, yaani hawakujiandaa kwa maswali magumu?

  Pili, hawakuonyesha hasira zao kama wananchi wa kawaida kwa nini mitambo yake isitaifishwe.

  Tatu, walishindwa hata kumpiga kofi au kumrushia kiatu cha hasira ili ajuwe nchi hii inawenyewe!

  Mimi naona waandishi wengi wa habari ni waoga wa kuchukuwa maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa. Wanakutana na Majambazi ya Taifa hili kwenye press conference za mara kwa mara lakini wanaogopa kuwakilisha hasira za wananchi kwa mafisadi hao.

  Wapo wa akina Kubenea na timu yake wanatumia vyema kalamu kufichua ujambazi uliofichika.

  Je wengine mnaonaje?
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Aliwachagua wa kuongea nae...with some editing done in their bank accounts
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Kwanza waandishi wa habari waliokwenda kwenye press conference hawakuwa na references za kumbana, yaani hawakujiandaa kwa maswali magumu?

  Jibu: Hawakurusiwa kuuliza maswali

  Pili, hawakuonyesha hasira zao kama wananchi wa kawaida kwa nini mitambo yake isitaifishwe.

  Jibu: waliokuwepo waandishi wa mafisadi kama kibonde namisupu walipewa press release na kuondoka

  Tatu, walishindwa hata kumpiga kofi au kumrushia kiatu cha hasira ili ajuwe nchi hii inawenyewe!

  Jibu: waliwepa laki 2 kama kifuta jasho

  Mimi naona waandishi wengi wa habari ni waoga wa kuchukuwa maamuzi magumu kwa maslahi ya Taifa. Wanakutana na Majambazi ya Taifa hili kwenye press conference za mara kwa mara lakini wanaogopa kuwakilisha hasira za wananchi kwa mafisadi hao.

  Wapo wa akina Kubenea na timu yake wanatumia vyema kalamu kufichua ujambazi uliofichika.

  Kubenea hakuwepo

  Je wengine mnaonaje

  Mwisho: Dowans ya RA wapumbafu saana
   
Loading...