Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa.
My Take
Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii.
Kama nawaona...
Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa...
Kwa kawaida tu ukimuuliza Mtanzania wa kawaida bunge lililopita limeleta wazo gani lolote tofauti ambalo unalikumbuka? Jibu ni kwamba hakuna lolote wanalo likimbuka kwasababu wamejaa wabunge wengi...
Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo.
Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya...
Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA.
Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje...
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 😀😀
Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini.
Jana...
Kuna baadhi ya teuzi au hata chaguzi ambazo hutaelewa kwanini zimekuwa hivyo kwani sio kila teuzi/chaguzi zinafanywa kwa matakwa ya binadamu!
Viongozi wakubwa waliopo ni mipango either kutoka Juu...
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene...
https://www.youtube.com/watch?v=xoyfxK2zxJk
Nipo nawasikiliza Wachambuzi wa masuala ya Sias wakijadili Katiba Mpya.
Baadhi ya washiriki wa mjadala ni:
Dkt. Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji, LHRC...
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa...
As campaign heats up, candidates sling pledges
By Richard Mgamba
5th September 2010
Just two weeks since the campaign for the presidency kicked off, the three front-running candidates are...
Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi...
Leo jumatatu katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV kinachoongozwa na Farhia Middle aliyekuwa Waziri wa Kilimo na pia kada maarufu wa CCM amekiri kuhujumu katiba ya Warioba ambayo ilipendekeza...
Kwa namna tunavyoenda, hakika nchi hii tutaendelea kunung'unika na kulaumiana milele na kuwataja wenzetu wa mahali pengine Duniani wanavyosonga mbele. Sababu mojawapo kubwa ni kwamba hatutaki...
MBUNGE MAVUNDE KUWAPATIA MEZA NA VIFAA VYA KISASA MAMA LISHE WA STENDI KUU YA MABASI DODOMA
- Atatua mgogoro wa wamachinga na Mama Lishe kuhamishwa
- Ashauri wasiondolewe katika maeneo yao kwa...
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.