Makonda amekichemsha Chama Sasa Makalla kakipoze

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,811
Reaction score
40,417
Kauli ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Mh Samia Suluhu Hassan imesadifu hivyo.

Ukiichambua Uhalisia wake neno "kukichemsha" halikumaanisha kuchangamsha bali kutifuana. Makonda alileta mtifuano ndani ya CCM kama Maharage yanayochemka ndani ya chungu kikuukuu.

Kauli hii imefafanuliwa vizuri na ufafanuzi wa sifa za Mwenezi anayetakiwa na Mwenyekiti. Alisema anahitajika Mtu ambaye Wapinzani watahofu kupambana naye Kwa hoja, hii ina maana Makonda hana uwezo wa kujenga hoja.

Kifupi wanaosema anatumia nguvu kuliko akili wako sahihi maana hata Mwenyekiti wake amethibitisha hilo.

Makalla amepekwa kutibu Kwanza "Mchemko" uliosababishwa na Makonda ndani ya CCM, Kwa sababu Muda wote wa miezi 3 ya ziara za Makonda aliwatifua CCM wenzake na si Wapinzani.

Zuri la Makonda Kwa nchi ni kwamba ameendelea kuthibitisha kwamba chanzo cha matatizo ya Nchi hii ni CCM na si vinginevyo.

Aidha tuorekebishe CCM kama tunataka kuendelea nayo au tuipumzishe, vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.

Asante Makonda kwa kukichemsha Chama na kuisaidia nchi kujua chanzo cha matatizo yake.
 
Chama gani kimechemshwa? 🏃🏾‍♀️
 
Kauli ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Mh Samia Suluhu Hassan imesadifu hivyo.
Ukiichambua Uhalisia wake neno "kukichemsha" halikumaanisha kuchangamsha bali kutifuana. Makonda alileta mtifuano ndani ya CCM kama Maharage yanayochemka ndani ya chungu kikuukuu.
Kauli hii imefafanuliwa vizuri na ufafanuzi wa sifa za Mwenezi anayetakiwa na Mwenyekiti. Alisema anahitajika Mtu ambaye Wapinzani watahofu kupambana naye Kwa hoja, hii ina maana Makonda hana uwezo wa kujenga hoja. Kifupi wanaosema anatumia nguvu kuliko akili wako sahihi maana hata Mwenyekiti wake amethibitisha hilo.
Makalla amepekwa kutibu Kwanza "Mchemko" uliosababishwa na Makonda ndani ya CCM, Kwa sababu Muda wote wa miezi 3 ya ziara za Makonda aliwatifua CCM wenzake na si Wapinzani. Zuri la Makonda Kwa nchi ni kwamba ameendelea kuthibitisha kwamba chanzo cha matatizo ya Nchi hii ni CCM na si vinginevyo. Aidha tuorekebishe CCM kama tunataka kuendelea nayo au tuipumzishe, vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Asante Makonda kwa kukichemsha Chama na kuisaidia nchi kujua chanzo cha matatizo yake.
Bila bila.
 
Na aliposema "tumeamka vizuri" hukuelewa? Katika logic hakikisha statement zote ziko kwenye harmony. Ukiona sentensi zote hazipo kwenye harmony something is wrong.
 
Back
Top Bottom