Chama cha Mapinduzi kidumu milele

Chama cha Mapinduzi kidumu milele

Joined
Nov 6, 2016
Posts
92
Reaction score
280
CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MIONDOKO MINGI KULINGANA NA INAVYOTAKIWA KUWA, CHAMA KIKONGWE NA KITADUMU

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA

Kuna wakati nabaki kucheka baada ya kusikiwa watu wakiweweseka kuhusu upangaji wa safu za uongozi katika chama cha Mapinduzi, wengi hawajui kwamba chama cha Mapinduzi ndio chama Mama na Baba katika Afrika, ni moja ya vyama vya ukombozi vinavyoendelea kudunda madarakani,

Hakidumu kwa sabubu nyingine bali muundo wake wa uhuru, haki na democrasia ndani ya chama, ni chama kilichojaa viongozi wenye mitindo na kasi zisofanana.

Hii humsaidia Mwenyekiti kupanga na kupangua pasi kuwa na shaka. kinapopumzika chuma kinaingia chuma kingine.

Juzi baada ya Rafiki yetu Paul Makonda kuipiga kazi kisawasawa alipopangiwa kazi nyingine kejeli, maneno yalitawala, kumbe Dr Samia anakiona chuma kingine Amos Makala ( CPA ) watu wanaduwaa tena bado wapinzani wamebanwa pabaya.

Zaidi Dr Samia amewapa UVCCM Joket Mwegelo hawa ndio wajanja wa mjini uwezo wake wa kuunganisha vijana ni mkubwa mno, ana sauti ya mamlaka kwa vijana, anapendwa, hanaga mbambamba, namwona anavyoipaisha UVCCM akishirikiana na CDE Kawaida.

UVCCM iwe na vijana wenye uwezo wa kukisemea chama, waweze kukitetea chama kwa kueleze utekelezaji wa ilani kwa mapana na marefu.

CCM IMESHEHENI MAJEMBE
DR SAMIA ANAUPIGA MWINGI.

Ndimi Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM & Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

View: https://youtu.be/mvmssNFW6aU?feature=shared
1712213835072.jpg
IMG-20240403-WA0018.jpg
IMG-20240331-WA0007.jpg
 
Kweli njaa mbaya sana. Maana inaweza hata kuuondoa kabisa utu na heshima ya mwanadamu! Sasa nimeelewa ni kwa nini hata Esau wa kwenye Biblia alikubali kumuachia Yakobo hadhi yake ya kuwa mtoto wa kwanza!!

Sababu ilikuwa ni njaa tu!
 
View: https://youtu.be/mvmssNFW6aU?feature=sharedView attachment 2953890View attachment 2953891View attachment 2953892View attachment 2953895

Kwa mbeleko zilizopo Kwakweli kitaendelea kutamba. !
Ila mbeleko zikichoka basi itakuwa bye bye 👋. 😅😅🙏🙏
 
Chawa tu huna lolote
 
Attachments

  • FB_IMG_1704783780756.jpg
    FB_IMG_1704783780756.jpg
    29.4 KB · Views: 7
Kweli njaa mbaya sana. Maana inaweza hata kuuondoa kabisa utu na heshima ya mwanadamu! Sasa nimeelewa ni kwa nini hata Esau wa kwenye Biblia alikubali kumuachia Yakobo hadhi yake ya kuwa mtoto wa kwanza!!

Sababu ilikuwa ni njaa tu!
Huyu yupo tayari hata kuua wazazi wake apate pesa, mfumuko wa bei juu, kila kitu kimepanda matumizi makubwa ya serikali na ya hovyo, mtu mjinga kama huyu atashauri nini zaidi ya kuwaza uteuzi aibe kama wenzake.
 
Kidumu Kwa kutenda haki kwa wananchi sio kwa kupanga safu za wapiga deals halafu useme kidumu!!

Huduma za kijamii.bado changamoto haiwezekani miaka yote hii Bado maji ,afya,nishati Bado kizungumkuti!!Hilo ni tatizo ccm hatupo siriaz!!
Angalia misafara na matumizi ya anasa ya serikali lakini huwezi kukuta kijana wa CCM anashauri wananchi wapunguziwe gharama za maisha, teuzi zimejaa upendeleo na ujangili wa mali za umma.
 
Kama hauridhiki hamia Rwanda au Burundi tuache sisi tuishi kwa amani😃
 
Angalia misafara na matumizi ya anasa ya serikali lakini huwezi kukuta kijana wa CCM anashauri wananchi wapunguziwe gharama za maisha, teuzi zimejaa upendeleo na ujangili wa mali za umma.
Oya netapusi pigana Kwanza Vita na Iran usitupangie vijana wa CCM Cha kufanya
Kwa hiyo ulitaka viongozi watembelee Bajaj muwaloge?
Nasikia ukikaa ndani ya vieitee uchawi haufiki.😀😀
 
CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MIONDOKO MINGI KULINGANA NA INAVYOTAKIWA KUWA, CHAMA KIKONGWE NA KITADUMU

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA

Kuna wakati nabaki kucheka baada ya kusikiwa watu wakiweweseka kuhusu upangaji wa safu za uongozi katika chama cha Mapinduzi, wengi hawajui kwamba chama cha Mapinduzi ndio chama Mama na Baba katika Afrika, ni moja ya vyama vya ukombozi vinavyoendelea kudunda madarakani,

Hakidumu kwa sabubu nyingine bali muundo wake wa uhuru, haki na democrasia ndani ya chama, ni chama kilichojaa viongozi wenye mitindo na kasi zisofanana.

Hii humsaidia Mwenyekiti kupanga na kupangua pasi kuwa na shaka. kinapopumzika chuma kinaingia chuma kingine.

Juzi baada ya Rafiki yetu Paul Makonda kuipiga kazi kisawasawa alipopangiwa kazi nyingine kejeli, maneno yalitawala, kumbe Dr Samia anakiona chuma kingine Amos Makala ( CPA ) watu wanaduwaa tena bado wapinzani wamebanwa pabaya.

Zaidi Dr Samia amewapa UVCCM Joket Mwegelo hawa ndio wajanja wa mjini uwezo wake wa kuunganisha vijana ni mkubwa mno, ana sauti ya mamlaka kwa vijana, anapendwa, hanaga mbambamba, namwona anavyoipaisha UVCCM akishirikiana na CDE Kawaida.

UVCCM iwe na vijana wenye uwezo wa kukisemea chama, waweze kukitetea chama kwa kueleze utekelezaji wa ilani kwa mapana na marefu.

CCM IMESHEHENI MAJEMBE
DR SAMIA ANAUPIGA MWINGI.

Ndimi Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM & Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

View: https://youtu.be/mvmssNFW6aU?feature=sharedView attachment 2953890View attachment 2953891View attachment 2953892View attachment 2953895

Kipaji kingine Cha ujinga ndohiki Sasa... Unasifu kuchaguliwa mtu gani hasa?
*Yule alosema wanawake wasiwapigie kura wanaume?
  • nasasa anaongoza vijana. je, ni mfano bora kwa hao vijana?
  • X wa kina daimondi na kiba atawafundisha vijana kujiheshimu?
  • Je atawasihi kujenga familia bora kuheshimu waumezao au usingo maza
  • Au unasifia yule anayetuhumiwa kuteka,kutesa,kutishia kuchapa viboko watumishi,
  • kudhulumu nyumba na kutisha maisha,
  • kupigwa marufuku kuingia marekani
  • kuleta maigizo ya kusukuma mikokoteni? Nasasa anaambiwa akainue utalii??
  • Au yule alotukana wazazi waliolitumikia taifa kwa miaka mingi kisa wanashauri.
  • sasa kapewa jumuia ya wazazi kuongoza?
  • ANAYO hekima ya kuongoza wazazi?
  • Au yule alishindwa kuwapa Arusha stendi mpaka Leo Jiji la kitalii halina stendi?
* Au yule msomihoi wa CPA asoweza kufanya miradi Bali kulilia vyeo mchana usiku,dar ilimshinda na Mwanza akaizorotesha?

What is your analysis? Au mradi tusifu kuonesha kipaji cha uchawa kupenda pachafu ili anyonye damu??
 
Back
Top Bottom